Sijawahi kuona Rais kama huyu tangu nchi yetu iumbwe

Kwan kununua train au ndege ndo kigezo cha kubonda watu risasi hovyo hovyo? Kwani alishindwa kutengeneza barabara hadi apoteze watu? Lissu ni national figure kupigwa kwake risasi haikuwa tu mshtuko wa kitaifa bali kimataifa kama hutaki KAFE, hata hitler alifanya makubwa ujerumani lakini hakumbukwi kwa mazuri ila kwa mabaya na bora iwe ubaya wa kutukana watu pekee lakini kitendo cha kumwaga damu za watu kimepelekea hadi leo kule Ujerumani marufuku jina la hitler kutumika popote.

Maendeleo aliyoyafanya magufuri hakuyafanya kwa hela zake bali kwa pesa za walipa kodi pia unaposema Lissu hakuweza kuthibitisha kuwa serkali haikuhusika na lile tukio umejidhihirisha wewe mwenyewe kuwa nawe ni KATILI zaidi ya aliyesimamia zoezi chafu la kutaka kuangamiza maisha ya Lissu bwana DAB una kila dalili kuwa UNA ROHO CHAFU NA MBAYA.
 
Utakua mgeni dunia hii

Mzee mkapa hadi alikua anazomewa…. Lakini hakuna rais aliyeweka base nzuri ya nchi yetu kiuchumi Kama yeye

Wa pili ni huyu wa sasa
 
Tena Lissu angekufa kabisa yule chiba, Sasahivi anajifa mtetezi wa wanyonge unafiki mtupu, Wakati wa Magufuli nchi anataka kuitoa kwenye makucha ya mabeberu iliuzwa kwa mikataba mibovu.Lisu ndiye aliyekuwa wa kwanza kuanzisha kampeni ya matusi na vitisho ili Magufuli asiwaguse hao jamaa, wakati Kabla ya alionekana kuipinga hiyo mikataba,kilicho mponza Lissu ni usaliti wake,hata Mungu hataki wasaliti ndio maana hata shetani anasubiria moto siku ya Mwisho kwa usaliti wake.
 
Yeyote anayesema Magufuli akumbukwe kwa kujenga madaraja na mabarabara haijui historia ya nchi hii na AKAPIMWE AFYA YA AKILI Mirembe Hospital. Barabara na miundombinu imeanza kujengwa na Wakoloni (Mjerumani & Mwingereza) kisha baada ya Uhuru Kajenga Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hatimaye Kikwette. Kila Rais alikuwa na vipaumbele vyake LAKINI alijenga sana tu. Hata Rais Samia anajenga sana.

Tofauti ya yule MWANAHARAMU wa Chato na hawa wengine ni kwamba yule ALIKUWA MWONGO na alitaka MASIFA. Hivyo propaganda zake zikimkuta mtu ambaye siyo makini kama KIXI anazimeza hivyo hivyo. Tuwasamehe Tanzania kuna wajinga wengi
 
Alifanya mambo makubwa na sasa tunarudi nyuma
Kama wewe umezaliwa 1990 onwards nitakusamehe. Lakini kama ni wa 1980s unahitaji wachungaji wakemee mapepo. Hakuna mambo makubwa ambayo yule KICHAA wa Chato alifanya zaidi ya kutuvurugia uchumi wetu na kuleta tafrani ndani ya chi yetu. Yote haya Mwenyezi Mungu aliyaona AKASITISHA MAISHA yake. Mpaka ninapoandika hii post, bado Magufuli yuko geti la kuingia jehanam. Hajapokelewa kwa vile hata Shetani anamuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…