Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello mambo aje?

Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe.

Sio style moja yaani style zote napigwa shoo kali.

Ukweli usemwe bila kificho.

Hao viumbe wanalijua dimba vizuri.

Toeni shuhuda zenu na nyie.

Wadiz
 
Ujakutana na mkojani japo muungano unasuasua.ukikutana naye utaomba muungano usifute ili kombe la shirikisho liwepo kwa ajiri ya simba na yanga
 
Umenikumbusha show moja ilipigwa pale Ugabe Hotel (Majimaji stadium)! Mechi ilikuwa kali sijawahi ona tena hapa duniani. Mtoto mchanganyiko wa kingoni na kimakua anajua minyanduano aisee.

Nilivyomdadisi juu ya utaalam wake akasema alienda tuition ya minyanduano na kuhandle mwanaume huko kwa mashangazi zake Mtwara.

Nakumbuka ngoma ilichoka ikaanza kulala lakin alichonifanyia kwenye mbupu machine iliamka upya na kupiga show zaidi.

Kaitaba stadium nako si haba lakini ukanda wa Songea na Mtwara kuna mambo sema tu niko mbali nako miaka 6 sita sasa ila ipo siku nitachoma pesa kwenda kula vinono kwa wangoni au wamakua na wamakonde.
 
Aunt Waliosoma physics sijui sayans sinwanasema kitu kisipotumika kinapotea au mm ndo nilikimbia umandeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muachee kiperish kabisaaaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... Kitu kapewa bureee alaf anajifanya mjuajiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…