Marekani wanakojenga nyumba za mbao tupu utasema wanalinda mazingira? Na usiangalie karibu, si ajabu processing ya aluminium inachafua hewa kama tu processinga ya mbao, au hata zaidi.
Zote hizo wanakata vizuri tu!Tumia nondo au square pipes sio flat bars.
Ha ha ha nondo 12-16mm wanakata! Ila watatumia muda sio Sawa na flat barsZote hizo wanakata vizuri tu!
Yes, nakubali... tofauti ni unakua umewaongezea ugumu wa kazi yao tu. Tena kama square pipes ndio wanakata kirahisi kabisa.Ha ha ha nondo 12-16mm wanakata! Ila watatumia muda sio Sawa na flat bars
Ukipata dirisha la mninga weka hilo utaona raha yake, binafsi nimeweka mninga nyumba nzima, niliagiza toka Kilwa mbao za kutosha nyumba nzima mwaka 2000.Hii ni complete milango,frame za milango na madirisha, na madirisha yenyewe, ukipata fundi mzuri akafanya kazi nzuri inavutia.Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa.
Bila shaka wenzetu walianza kutumia madirisha ya namna hii kwa sababu ya uhaba wa mbao na bei kubwa ya mbao na si uzuri wake.
Unayaonaje madirisha haya? Na huku kwetu dirisha la mninga na la aluminium ya ukubwa sawa lipi ni bei kubwa?
Kabisa nina site kibamba, fundi wangu kanishauri nitumie square pipesTumia nondo au square pipes sio flat bars.
Hiyo dirisha ya mbao hapo ukisema uitengeneze kwa mninga uliokauka na kunyooka vizuri kwa dirisha moja kibongo bongo haitapungua 800K sasa nyumba ina dirisha 13 niambie wangapi mtaweka?Yaani hizi picha mbili zitakuambia na kuunga mkono hoja ya mleta uzi...haya madirisha ya aluminium hakuna kitu...dirisha ni la mbao tu tatizo letu kuigana...aluminium upande ile high end designing ndo nzuriView attachment 2026613View attachment 2026614
Nakubaliana na wewe ukienda kwenye makazi ya wakata ufuta ndo utaona wanaogopa mninga...ukipita mitaa kama mbweni masaki o'bay bunju beach etc kwa hapa Dar utaona majamaa mababe yamepiga hizo za mninga na kunanoga sanaHiyo dirisha ya mbao hapo ukisema uitengeneze kwa mninga uliokauka na kunyooka vizuri kwa dirisha moja kibongo bongo haitapungua 800K sasa nyumba ina dirisha 13 niambie wangapi mtaweka?
Kama mtaani mpo angalao watano wote mkaziweka kidogo mtaa utachangamka na itaonekana ni fashion nzuri ila uko peke yako wengine wameweka PVC wengine hizi aluminium za kawaida wewe bado utaonekana wa kuja pamoja na jeuri utakayoionyesha hapo.
Mkuu mwaka 2003 nilichonga kitanda cha mninga kwa Tsh 130,000/= meza 60,000/= mwaka juzi 2020 kitanda size ile ile sema chenye urembo kidogo nilizunguka kwa mafundi wote wenye karakana za kuaminika na wanaofata wenyewe mzigo wa mbao sikumpata wakuniambia chini ya 1mill,2020 dining chair moja 180,000/= while miaka hiyo ilikuwa 50,000/= mninga ni mbao ya gharama sana.Ukipata dirisha la mninga weka hilo utaona raha yake, binafsi nimeweka mninga nyumba nzima, niliagiza toka Kilwa mbao za kutosha nyumba nzima mwaka 2000.Hii ni complete milango,frame za milango na madirisha, na madirisha yenyewe, ukipata fundi mzuri akafanya kazi nzuri inavutia.
Nyumba zenye madirisha ya mbao obay na Masaki ni za zamani. Sasa hivi nyingi zina uPVC au hizi hizi aluminium. Huwa nasikitika mtu kajenga gorofa zuri halafu anaweka aluminiumNakubaliana na wewe ukienda kwenye makazi ya wakata ufuta ndo utaona wanaogopa mninga...ukipita mitaa kama mbweni masaki o'bay bunju beach etc kwa hapa Dar utaona majamaa mababe yamepiga hizo za mninga na kunanoga sana
Ukiona kapiga aluminium mara nyingi inakuwa alishindwa kushaurika wenye fedha wengi hasa wasomi ni wabishi kuchukua ushauri but all in all uPVC inaleta mwonekano mzuriNyumba zenye madirisha ya mbao obay na Masaki ni za zamani. Sasa hivi nyingi zina uPVC au hizi hizi aluminium. Huwa nasikitika mtu kajenga gorofa zuri halafu anaweka aluminium
Kwa kuongezea USA ni Saudi Arabia ya MbaoNyumba zao zinatumia miti isiyo adimu, not hardwood...sana sana hardwood utaikuta kwenye floor tu...
Halafu ujenzi wa nyumba unaku controlled na mamlaka sio kama kwetu...
Pia wana misitu kwa ajili ya mbao, yaani miti ya mbao inalimwa kwa wingi kama sisi tunavyolima mahindi...hivyo wanacontrol hali ya zao la miti
Milango na madirisha ya nyumba yetu yote ni full mninga mazito kweli kweliMkuu mwaka 2003 nilichonga kitanda cha mninga kwa Tsh 130,000/= meza 60,000/= mwaka juzi 2020 kitanda size ile ile sema chenye urembo kidogo nilizunguka kwa mafundi wote wenye karakana za kuaminika na wanaofata wenyewe mzigo wa mbao sikumpata wakuniambia chini ya 1mill,2020 dining chair moja 180,000/= while miaka hiyo ilikuwa 50,000/= mninga ni mbao ya gharama sana.
2000s dirisha za mbao ndo zilikuwa fashion leo hata uki-afford kuziweka bado utaonekana upo outdated kutokana na macho ya watu yanapenda kuona vitu vinavyong’aa ng’aa ila ukiwa na wenzako wawili watatu ktk mtaa wenu mkaweka mtaonekana smart sasa kwa uchumi huu wa bongo hao watu wakuweza hizo gharama wako wapi?
NONDO milimita 12 hata kama wakikata watachukua muda. Ni ngumu kuweka 16mm kwenye madirisha, hiyo NONDO bei yake imesimama sanaHa ha ha nondo 12-16mm wanakata! Ila watatumia muda sio Sawa na flat bars
Mi naona tuwekeze zaidi kwenye means nyingine za kujilinda, haya machuma madirishani wezi wanakata, labda uweke NONDO mm16, lkn square pipe ni rahisi kukata. Tuwe na manati za kizungu, electric fence, CCTV camera n.kYes, nakubali... tofauti ni unakua umewaongezea ugumu wa kazi yao tu. Tena kama square pipes ndio wanakata kirahisi kabisa.
Kitu kizuri na cha thamani huwa kinajionesha. Huwezi sema eti mtu mwenye Rolls-Royce akiwa katikati ya paso ishirini ataonekana wa kuja, what is that! Dirisha ya mbao ya mninga kila mtu anaogopa, it is very expensive end very beautiful ikifanyiwa finishing vizuriHiyo dirisha ya mbao hapo ukisema uitengeneze kwa mninga uliokauka na kunyooka vizuri kwa dirisha moja kibongo bongo haitapungua 800K sasa nyumba ina dirisha 13 niambie wangapi mtaweka?
Kama mtaani mpo angalao watano wote mkaziweka kidogo mtaa utachangamka na itaonekana ni fashion nzuri ila uko peke yako wengine wameweka PVC wengine hizi aluminium za kawaida wewe bado utaonekana wa kuja pamoja na jeuri utakayoionyesha hapo.
Hata manati za Kiafrika zinafaa ukifanya timing.Mi naona tuwekeze zaidi kwenye means nyingine za kujilinda, haya machuma madirishani wezi wanakata, labda uweke NONDO mm16, lkn square pipe ni rahisi kukata. Tuwe na manati za kizungu, electric fence, CCTV camera n.k
Kapicha tafadhari la upvcNyumba zenye madirisha ya mbao obay na Masaki ni za zamani. Sasa hivi nyingi zina uPVC au hizi hizi aluminium. Huwa nasikitika mtu kajenga gorofa zuri halafu anaweka aluminium
Siwezi weka hii fasheniYameingia madirisha design mbadala mtaani. Ni ya chuma na kioo yanafunguka Kwa bawaba Kwa nje. Kwahio dirisha zima linaweza kufunguka. Ni kama Yale madirisha ya zamani utayaona kwenye shule za mkoloni. Huitaji grill ukiwa na haya na bei ni nafuu.
Mapungufu: Mwizi akipachua kioo(kinabandikwa kwa gundi) anaongiza mkono anafungua na kuingilia hapo dirishani kwasababu hayawekwi grill.
Kwani kina ulazima gani wa kufunguka dirisha lote?Wengi wanaenda na trend tu,una hoja ambayo hata mie nimekuwa nayo.
Unakuta dirisha limekatwa tena 1ft partition isiyofunguka huko juu hivyo linafunguka 40% pekee.
View attachment 2027336