Sijawahi yaelewa mahubiri ya Wasabato

Kumbe umewaelewa Wewe!
 
Kuna mmoja nilimuona startv naye nikasema nisimsikilize nikaona anasema mambo ya sikuya saba ilikuwa ni jumamos kwahyo inatakiwa kusal jumamos toka siku hyoo sijawah angalia tena .nimwendo wa siku ya saba tuuu I think wanakuwa too physical than spiritual growth
 
Nina ndugu zangu wasabato, kila nilipowatembelea enzi hizo nikiwa dogo nilikuwa nikiambatana nao kwenda sabato (ukimtembelea msabato ikifika ijumaa jioni atakuacha, ila jumamosi atakukomalia sana mtaenda wote kanisani kwao, hivyo nilienda mara nyingi).

Kilichonikera ni hicho, yaani mara zote, mahala tofauti, wao wanahubiri spana dhidi ya Roman Catholic na kuizungumzia siku ya sabato tu, hawaendi nje ya hapo. Hata upendo sikuwahi kusikia wakiuzungumzia kabisa.

Sikuwahi kusikia wamezungumzia hata uislam na ijumaa wala walokole, wala Orthodox ya akina Jorginho, wala Hinduism, wala Buddhism, wala rastafarian, wao ni wao na RC tu! Huwa najiuliza sana hawa watu wana ugomvi gani na RC?!
 
Kitimoto Itakuwa au swine!
 
Mbaya zaidi huwa wana kaubaguzi na kadharau fulani hivi kwa kujiona kama vile mbinguni ni nyumbani kwao na RC wote ni wa motoni!
 
Mbaya zaidi huwa wana kaubaguzi na kadharau fulani hivi kwa kujiona kama vile mbinguni ni nyumbani kwao na RC wote ni wa motoni!
Umewanukuu vibaya Hawa jamaa,mbona wako vizuri tuu Mkuu Tena ukifika mgeni wa dhehebu lingine kwao,utasikia aliye karibu na mgeni,mpe mkono' wa karibu!Jisikie mgeni kula popote Leo ni Sabato.Maana wanabeba menu.
 
Sio lazima kuwasikiliza wao tu jaribu kutafuta kanisa lingine ndugu uchaguzi ni wako hakuna anae kulazimisha na wala hakuna sababu ya kuleta lawama JF nenda kasikilize ya mwamposa usikilize izo ushuhuda adi utoe mlio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…