Sijawasikia Chadema kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi Leo hii Mei Mosi 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
 
Umesahau kusema ni siku ya kampeni ya chama cha majambazi (ccm)
Unazungumzia siku ya wafanyakazi na maslahi ya wafanyakazi wepi hali ambapo serikali imejaza watu wa TISS Kuwa viongozi?
Hao waliozungumzia maslahi ya wafanyakazi wameshawahi kutoa maslahi gani zaidi ya mshahara kiduchu??
Nnenda halmashauri ukaone watumishi wanavyodai malimbikizo yasiyolipwa miaka na miaka
 
Wenyewe walisema hawamdai mama yao chochote nani ashughulike nao sasa! Wa kusifia wapo chawa wa kutosha ni mgawanyo tu wa majukumu
 
Wakati fulani uwe unatumia pia akili yako ya kuzaliwa iliyoko kichwani, ok? Siyo muda wote unatumia tu akili yako ya tumboni.
Achana na mleta mada jadili mada husika.
Leo tupo na siku muhimu ya wafanyakazi inakuwaje chama kinachojiita kikuu cha upinzani kinashindwa kujiassociate na wafanyakazi??
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
kwani siku imeisha? na ulitaka uwasikie, kwani maslahi ya wafanyakazi yanaongelewa meimosi tu?
 
Achana na mleta mada jadili mada husika.
Leo tupo na siku muhimu ya wafanyakazi inakuwaje chama kinachojiita kikuu cha upinzani kinashindwa kujiassociate na wafanyakazi??
Kwa nini mnawanyanyasa Watanzania wenzenu kwa sababu tu ya tofauti ya itikadi za kisiasa? Kwa nini mnashindwa kumpeleka mahakamani yule mhaini mnayemshikilia kule Ukonga?

Kwa nini mnawatesa na kuwaumiza wafuasibwa chadema wanaokwenda mahakamami kufuatilia mchakato wa kesi ya mwenyekiti wao?

Ndiyo maana nimekuambia wakati fulani uwe unatumia akili yako ya kuzaliwa! Achana na ile akili ya kujitoa ufahamu iliyoko tumboni mwako.
 
Acha usanii wa kutafuta public sympathy ....mnadhani watanzania hawajui manyanyaso mpaka watafsiriwe?
#hongera trump kwa kutuondolea fedha zikizokuwa haziwafikii walengwa bali viroboti vya mtandaoni
 
Back
Top Bottom