Sijawasikia Chadema kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi Leo hii Mei Mosi 2025

Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Sawa janjalao huoni wapo ambao wangeenda kuogelea beach kwa kusanyiko au kwa press ya uchochezi haramu?
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Huna akili, yaani wazungumzie maslahi ya wafanyakazi wakiacha kuhangaika na mwenyekiti wao ambaye yuko ndani?

Maslahi ya wafanyakazi wakati kuna wanachama wako kwenye maumivu na majonzi? kwani CUF wameongeleaje maslahi ya wafanyakazi? ACT wamesemaje juu ya wafanyakazi? kwanini uhangaike n CHADEMA
 
kwa hiyo mwenyekiti akiwa ndani chama kimekufa?
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Chadema wamesema.watafuta vyeo kama
Dc
Rc
Uchawa na ngazi ya mshahara kwa kada zote degree hata pungua kwenye 1M
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.
Kwani chadema ni chama Dola hata wakisema CCM hawawezi kuwasikiliza wanashindwa kutambua kwamba tuna mfumo kandamizi wa kupiga kura, (tume ya uchafuzi)

Hatahivyo CCM ni wataalamu wa kujizima data, (kuahirisha kufikiri kizalendo)
 
utopolo ndio nini?
Mwambieni katibu wenu atoe tamko asione aibu kuchelewa
Atoe tamko kwani Chadema inakusanya kodi,kila kitu wanachosema Chadema mnaponda sasa tumewaachia hata uchaguzi mshiriki wenyewe hatuna muda mchafu kuzungumzia mazombie ya CCM.
 
Kwani chadema ni chama Dola hata wakisema CCM hawawezi kuwasikiliza wanashindwa kutambua kwamba tuna mfumo kandamizi wa kupiga kura, (tume ya uchafuzi)

Hatahivyo CCM ni wataalamu wa kujizima data, (kuahirisha kufikiri kizalendo)
Chadema inajivika joho la kuwa chama kikuu cha upinzani nchini
.sasa wana sera gani mbadala kwa wafanyakazi tunapoelekea uchaguzi wa mwezi oktoba?
wafanyakazi ni kundi muhimu la wapiga kura nalo mmelipuuza.
 
Atoe tamko kwani Chadema inakusanya kodi,kila kitu wanachosema Chadema mnaponda sasa tumewaachia hata uchaguzi mshiriki wenyewe hatuna muda mchafu kuzungumzia mazombie ya CCM.
ni kipi significant kilichowahi kusemwa na chadema kinachohusu wafanyakazi?
Leo hii Rais Samia anapoongeza mshagara anajihakikishia kura za wafanyakazi halafu mwezi oktoba ukifika mtasema kura zimeibiwa.
 
Kama hujawahi kusikia ni kwa vile wewe ni jingalao masikio unayo lakini husikii.
 
Chadema inajivika joho la kuwa chama kikuu cha upinzani nchini
.sasa wana sera gani mbadala kwa wafanyakazi tunapoelekea uchaguzi wa mwezi oktoba?
wafanyakazi ni kundi muhimu la wapiga kura nalo mmelipuuza.
CCM wanatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi, (CCM), na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), kwasasa uchawa, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Silence surrenders public responsibilities
 
Heshimuni kundi hili la wafanyakazi ndio maana hawatakaa wawaelewe
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
Kengerisim
 
Tanzania bila kuondoa huu uchafu unaoitwa CCM huwezi kuongelea mambo mengine. Jambo ka msingi sana sana ni kuondoa CCM kwanza. Nna uhakika kuwa CCM haiwezi kubadilika tena yenyewe bali itaendelea kuboronga. Hivyo basi hata uongelee jambo lolote ni kama kupoteza muda. Kazi yote ielekezwe kwenye kuiondoa kwanza.
 
Namna ya kuiondoa CCM ni kushawishi umma kwa sera mbadala...platform za kushawishi umma ni pamoja na siku hii muhimu ya wafanyakazi.
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
1000053955.jpg
 
Back
Top Bottom