Sijawasikia Chadema kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi Leo hii Mei Mosi 2025

Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.

Tadea umewasiki?
 
Kalaga baho na iko hivi tuta-kula na tutakutana kwenye box la kura;
Hili ni zengwe la kisiasa lililosukwa kwa ustadi Kwa wazembe wa kung'amua,
Mwaka 2022 nyongeza ya 23%, 2025 nyongeza ya 35.1%, Huu si usikivu wa kawaida, hii ni hesabu ya kura kwa kutumia bajeti. Ukitazama takwimu, mishahara ya watumishi ilikuwa imelala fofofo tangu 2016, lakini ghafla imeanza kuamka — tena kwa dakika za lala salama kuelekea Oct, 2025. Kitaalamu, hii huitwa "pre-electoral fiscal stimulus." Kwa kiswahili chepesi: Rushwa halali ya kisera.
 
Kwani si mmendelea kuwakamata na kuwaweka ndani? Kwani leo ndo umeona umuhimu wao kutaka waongelee maslahi ya wafanyakazi? si mmeongezewa mshahara hamjaridhika na aliyoyasema mama yenu?
Wameongezewa shilingi 485.80 kwa siku, kwa siku 26 za kaz kwa mwezi kuwanyamazisha, CCM wanaogopa kelelele za vyura na mbwa

Kunyamaza siyo amani mimi naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
Wao kazi yao ni kutukana kila mtu, halafu wanadai wameibiwa kula!
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.

..hujawasikia Chadema wakizungumzia KIKOKOTOO?
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
Wafurahie kwa ongezeko la TZS 130,000 ambazo zikikatwa kodi inabaki elfu 90, wakati wao na wabunge wanajiongezea Mamilioni? Wewe una akili kweli au unaongea ukitumia makalio yako. Mjinga, muuaji na mtekaji wewe.
 
Ukitaka kujua kuna total confusion na disorganisation ndani ya taasisi flani basi tazama namna wanavyoenenda katika siku muhimu za kitaifa kama leo.

Wafanyakazi ni kundi muhimu sana la wapiga kura hivyo unahitaji kuwa sensitive na proactive kulishawishi kundi hili.
Rais Samia na CCM yake amelishawishi kundi hili kwa nyongeza ya mshahara siku ya leo na bila shaka amejihakikishia kura nyingi za kundi hili.
Hz akili hz, anayetakiwa kuzungumzia hayo Mambo, ni yule anayekusanya Kodi, mwenye kutunga Sera za fedha, sasa chadema haongozi hata kata moja, unataka aIngumzie Mambo ya maslahi ya wafanyakazi(wretched of the earth), kwa nini mawe usimrushie ccm!
 
Back
Top Bottom