Sijaweza lala usiku kucha, shemeji anachomfanya dada sipendezwi nacho kabisa

Kwa ufupi ni kwamba utakiwi hapo .....unawagasi uondoke haraka ......maaana kaamua kufanya vituko Tu ili uondoke rakini wewe ndio usikii .....mwaka mzima anakufuga maisha magumu sepaaaaa
 
Ni kama anafanya kusudi... Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu.... Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa...
Kuna vichaa wapo Milembe na wengine mpo njiani kupelekwa Milembe..
 
Kwa ufupi ni kwamba utakiwi hapo .....unawagasi uondoke haraka ......maaana kaamua kufanya vituko Tu ili uondoke rakini wewe ndio usikii .....mwaka mzima anakufuga maisha magumu sepaaaaa
Hivyo siyo vituko kiongozi.. Walipokea mahali ili akafue nguo?? Au akapike?? Wakati wanapokea mahali walijua dada yake anakwenda kunyanduliwa hadi ajae mimba na kuzaa..!!! Sasa mtu anapoinyandua mbususu yake haijalishi wewe ni nani kwa mwenye hiyo mbususu...
 
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa...
Aibu naona mimi
 
Tafuta sehemu ukakae, jiangalie, ipo siku dada yako ataishiwa pumzi kabisa shemeji yako atakuja kuomba kwako.
 
Kwa kifupi we na dada yako wote mmeolewa Kama unabisha subiri ampe talaka uone Kama dada yako ataondoka peke yake ni lazima aondoke na wewe.
 
Umeshakua.... Toka hapo kwa shemeji yako katafute mji wako...
Anyway una undugu nahuyu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Katika vitu vilivyonishinda mpaka sasa ni kulala ukweni na kuishi kwa ndugu, yaani bora nikaishi kwa jamaa anayeishi ghetto
 
Dah nilimwambia mzee wangu Mohamed. Ukihama hapo urudi
 
Kwa ufupi ni kwamba utakiwi hapo .....unawagasi uondoke haraka ......maaana kaamua kufanya vituko Tu ili uondoke rakini wewe ndio usikii .....mwaka mzima anakufuga maisha magumu sepaaaaa
Rakini [emoji777]

Lakini[emoji3581]
 
Kwa kifupi we na dada yako wote mmeolewa Kama unabisha subiri ampe talaka uone Kama dada yako ataondoka peke yake ni lazima aondoke na wewe.
haya maneno makali sana ndugu yangu..............
 
mukuu huwezi rudi samvula chole wakati wa samvula chole wanakuja mjini. hapo tunapishana. mi natafuta kazi huku huku town kwanza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…