Sijaweza lala usiku kucha, shemeji anachomfanya dada sipendezwi nacho kabisa

Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa.

Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti zinatoka hadi chumba nacho lala kweli? Maana nyumba yenyewe haina ceiling board, yaani nasikia kila kitu kabisa. Hadi wanapogeuka.

Sister akiamka asubuhi amechoka sana anasinzia mchana wote. Nadhani hili si jambo zuri kwa kweli. Shem anatumia mavitu ya ajabu ajabu nataka nimwambie sister lakini nashindwa.

Nlimsikia anaongea na simu akimwambia mwenzie kuwa amletee vichupa 10 vya Mkongo. Sijui kama haya mambo yana ruhusiwa katika mahusiano. Si jambo jema.

Toka nimekuja hapa home kwao shem naona amechange. Uchangamfu haupo tena. Anakuwa serious muda mwingi sijui amepatwa na nini. Mimi nipo hapa kwa muda mfupi tu. Toka nimemaliza fomu four mwaka jana.

Natafuta kazi wajameni. Hivyo mara nyingi naangalia kwenye TV matangazo. Siku nyingine unakuta Rimoti haipo. Kumbe kasahau kaenda nayo kazini. Kwa kweli shem amevurugwa sana.
Asiyekutaka hakuambii toka. Ukiona vipi basi nenda kawaombe shoo japo raundi moja tu uridhike
 
Kwahiyo zile pwah pwah pwah unaskiaga 😋.
Kijana Nenda Quarantine
 
hata kama munanipa ushauri lakini si kunikashifu. huo sio ustaarabu. sisi watanzania,waafrika ni ndugu kama shemeji hataki nikae kwake angesema tu kwani anaogopa nini.... mimi nimeshangaa tu kuwa kwa ninii afanye hivyo kila siku wengine tunashindwa kulala kwa amani.
 
Acha ujinga juongeze shemeji yako hataki ukae kwake. We ni mwanaume ogopa fedhea ondoka hapo rudi kwenu bhana
 
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa.

Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti zinatoka hadi chumba nacho lala kweli? Maana nyumba yenyewe haina ceiling board, yaani nasikia kila kitu kabisa. Hadi wanapogeuka.

Sister akiamka asubuhi amechoka sana anasinzia mchana wote. Nadhani hili si jambo zuri kwa kweli. Shem anatumia mavitu ya ajabu ajabu nataka nimwambie sister lakini nashindwa.

Nlimsikia anaongea na simu akimwambia mwenzie kuwa amletee vichupa 10 vya Mkongo. Sijui kama haya mambo yana ruhusiwa katika mahusiano. Si jambo jema.

Toka nimekuja hapa home kwao shem naona amechange. Uchangamfu haupo tena. Anakuwa serious muda mwingi sijui amepatwa na nini. Mimi nipo hapa kwa muda mfupi tu. Toka nimemaliza fomu four mwaka jana.

Natafuta kazi wajameni. Hivyo mara nyingi naangalia kwenye TV matangazo. Siku nyingine unakuta Rimoti haipo. Kumbe kasahau kaenda nayo kazini. Kwa kweli shem amevurugwa sana.

Kwa hiyo unamuonea wivu shemeji yako? Unataka akukaze wewe!
 
Dada kaolewa nawe umeolewaaa.
Kesho itakuwa ni zamu yako kumsaidia dada yako
 
Mhogo nastawi sana Samvula Chole na Simba wote wamerudi hi fadhila
mukuu huwezi rudi samvula chole wakati wa samvula chole wanakuja mjini. hapo tunapishana. mi natafuta kazi huku huku town kwanza .
 
Sasa unaishije kwa shemeji yako?!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu unapata guts kabisa za kutoa malalamiko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...move out
We nawe huna akili, ina maana humjui huyu mtu? Kwanini unapoteza muda wako?
 
Hahahaaaa kama unasikia hadi wanavyogeuka tafuta tu kwa kwenda dogo
 
Back
Top Bottom