Sijaweza lala usiku kucha, shemeji anachomfanya dada sipendezwi nacho kabisa

Mkuu tukiachana na mada husika kidogo, kama sasa hivi umemaliza form four, una maana kuwa ulijiunga na JF ukiwa darasa la nne?
Mama anaupiga mwingi sana!
 
Tafuta geto la kushare uhame wamekuchoka hapo
 
Inasikitisha wewe kusoma na ku comment. Ungekuwa na akili hata usingesoma ungeachana nayo.
Inasikitisha sana nyuzi za hovyo kama hizi kushamiri hapa Jf na watu wakipiga makofi...
 
Hama.We mtu mzima unapata tabu mambo ya aibu.
 

Unaomba ushauri mambo ambayo hayakuhusu, dada yako ameolewa kumpa mumewe papuchi ni jukumu lake haijalishi kachoka au hajachoka hiyo ni ndoa yao wewe kama wanakukera hama au rudi kijijinii mkuu
 
Leo usiku dada analiwa na mtu anaeaikiliza analiwa kwa kumsaidia dada.
Acha upelekewe moto we na dada yako
 
Mkuu achana na hawa wapumbavu kukaa kwa shemeji sio zambi ila unatakiwa uangalie na shemeji je anawatoto ama hana, je anakipato kizuri.

Shemeji huyo usiende kwake watu wa pwani tunasema bado ni Bwana Harusi anafurahi ndoa bado. So unaweza kuchuja hapo ila km bado unakaa mkuu njoo tushare geto hapa Ukonga karibu sana.
 
Na wewe mle tu Dada yako kama makelele ya Dada yako yamekutamanisha, maana yake umemtamani na haikatai.. Mlee
 

Pole Sana, tafuta vibarua kapange huko mtaani, hiyo ni fedheha sana
 
Mambo yao waachie wenyewe, fanya yako...
 
Aki nmecheka saaana yewoomi! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwanza pole bwana kaka, lkn ww unaanzaje kwenda kuish alipoolewa dada yako jaman. Ujisikii aibu 🤔

Na huyo shemeji anafanya makusid ili ujiongeze uondoke, lkn bwana kaka hutaki kuelewa. Huoni unafanya dada ateseke, muonee dada ako huruma.

Yan unaondka had na rimont ww upo tu umeng'ang'anaa looh! Nchokii 😳.

Fanya uondoke, maana shemej anashndwa kukuambia lkn kashakuchoka anataka uondke.

N vle hii stor s ya kweli, lkn iwe fndsho jaman kwa wengne alipoolewa dada yako s sehemu ya ww kwenda kuishi uwe wa kike au wakiume s tabia njema.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] dah hii nchi uhuru umezidi. Kwahiyo upo kwa shemeji au siyo
 
Bwana mdogo hama hapo nenda kachakarike sehemu nyingine.Ukiendelea kukaa hapo yatakayokupata ni makubwa kuliko hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…