Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Vyote!Kwa nini? Ubabe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote!Kwa nini? Ubabe?
Kwa miaka 15 iliyopita since 2010 walishindwa kuiba Kawe wakati huo kukiwa na wagombea urais mdebwedo ndio wataweza sasa?Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.
Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu
Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.
Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
Mind your language mkuuKichapo Kwa halima Mdee shoga angu na Rafiki yangu kipo palepale
Hachomoki Kwa GWAJIMA
Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.
Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu
Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.
Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
Mkuu hebu jaribu kutumia kichwa ktk kufikiri na sio makalio....Walishampa na wataendelea kumpa...watu wanataka maendeleo na sio religious sympath
Bye bye halima mdee.Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Hahahaaaaa....eti porn star. Ina maana Kawe inaenda kuwa Pornhub?Wakatoliki pia hawamtaki huyu Porn Star ataendelea kuwatukana viongozi wa kanisa katoliki kuwa wamekula maharagwe yaliyooza.
Kifupi Gwajima kalazimishwa kuingia CCM na kalazimishwa kugombea jimbo la Kawe...hata ile video ilikuwa na lengo la kumfanya akubaliane na matakwa yao maana alikuwa mgumu na misimamo yake..na jamaa walikuwa na part two and three alipokubali tu kuunga mkono juhudi kesho yake akashafishwa...
Kama mnakumbuka aliitwa aende kureport polisi na baadae wakageuka kuwa hana hatia
Angeendelea kuwa mbishi angeburuzwa mahakamani kama kina Wema na Amba Ruthy na ingekuwa kashfa kubwa sana kwa kiongozi wa dini tena ya kiroho kuburuzwa mahakamani kwa video za ngono...
Hapo ndo walipompata Gwajiboy na maisha yake yote ataitumikia CCM .
Safi sana endelea hivohivo na mimi ni Mkatoriki wa tangu kurithiMimi ni Mkatoliki, kama ningekuwa Kawe ningechagua mgombea kwa kuangalia sifa za uongozi na si kwa kile alichowahi kusema nini na kuhusu nani. Pengine kuna Wakatoliki na waumini wa dini nyingine Kawe wenye mtazamo kama wangu.
Marehemu upinzani, maziko yake 28/10Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umwangazie huyu marehemu apumzike kwa amani-Amina
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.
Tunavyodhurumu haki wanyonge na malofaMungu anawaona
TutawanyooshaKawe wanao sisi wana CCM wengi tunaompinga Gwajima, tunapinga kupitishwa kwa Gwajima.
Marehemu upinzani, maziko yake 28/10
jimbo la Kawe na chama chetu cha mbogamboga ni kama mashariki na magharibi!Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.
Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.
Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa