Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Uchaguzi 2020 Sijui Gwajima atatumia Sabuni gani ya 'Kuwatakatisha' Waislamu wa Kawe 'aliowadhihaki' na 'Wakatoliki' waliokwazika naye 'alipomshambulia' Pengo

Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.

Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu

Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.

Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
Kwa miaka 15 iliyopita since 2010 walishindwa kuiba Kawe wakati huo kukiwa na wagombea urais mdebwedo ndio wataweza sasa?
 
Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umwangazie huyu marehemu apumzike kwa amani-Amina
Waache ujinga
Wanajifanya kama hawajui zile mbinu zetu za kuiba kura au zile za kuingiza masunduku ya kura ambazo zimeshapigwa.

Ccm tuna jeshi
Ccm tuna polisi
Ccm tuna mabunduki
Ccm tuna mabomu
Ccm tuna kila kitu

Hivi nyinyi
Wapinzani mna nini cha kujivunia.

Msipotupa kura zenu , tutaziiba kwa mabavu.
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
Bye bye halima mdee.

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Kifupi Gwajima kalazimishwa kuingia CCM na kalazimishwa kugombea jimbo la Kawe...hata ile video ilikuwa na lengo la kumfanya akubaliane na matakwa yao maana alikuwa mgumu na misimamo yake..na jamaa walikuwa na part two and three alipokubali tu kuunga mkono juhudi kesho yake akashafishwa...

Kama mnakumbuka aliitwa aende kureport polisi na baadae wakageuka kuwa hana hatia

Angeendelea kuwa mbishi angeburuzwa mahakamani kama kina Wema na Amba Ruthy na ingekuwa kashfa kubwa sana kwa kiongozi wa dini tena ya kiroho kuburuzwa mahakamani kwa video za ngono...

Hapo ndo walipompata Gwajiboy na maisha yake yote ataitumikia CCM .

video yake au siyo yake?
 
Nimesoma kila mchangiaji. Gwajima byebye ndio umepoteza kila kitu na hayo mabanda yako hapo ubungo yatakosa hata mbwa wa kuja kunya hapo.
 
Mimi ni Mkatoliki, kama ningekuwa Kawe ningechagua mgombea kwa kuangalia sifa za uongozi na si kwa kile alichowahi kusema nini na kuhusu nani. Pengine kuna Wakatoliki na waumini wa dini nyingine Kawe wenye mtazamo kama wangu.
Safi sana endelea hivohivo na mimi ni Mkatoriki wa tangu kurithi
 
Alimshambulia Askofu Pengo kama mtu binafsi, lakini alijidai hatambui mamlaka ya Askofu Pengo kikanisa, na alimtukana, mjinga na mpumbavu.

Sioni tatizo la video hii.

Sijaona tusi hapo.

Mtu mliokubaliana jambo hadharani halafu akakiuka makubaliano hayo hadharani, umwiteje?

Ni mpuuzi, mnàfiki na mjinga kabisa na ikiwezekana awe mpumbavu kabisa.

Hizi ni sifa za mtu wa namna hiyo. Hafai mtu huyo vinginevyo autambue udhaifu wake huo na kutubu.

KWA UPANDE MWINGINE;

Mimi binafsi sina tatizo na Mch. Gwajima kwa kumshambulia Cardinal Pengo au tuhuma za wa watu kumchafua kumtengenezea picha ya ngono kwa kutumia technolojia ya photoshop.

Haya yote ni uongo tu. Sina shaka kabisa na ushiriki wake ktk hayo, kuwa ni uongo 100%.

Mimi nataka Mch. Gwajima ashindwe kwenye uchaguzi huo ili ASIWE MBUNGE KABISA kwa gharama yoyote ile ili abaki kwenye kazi ya WITO WAKE aliyoitiwa na Kristo Yesu ya:

å Utume wa kueneza Injili
å Uchungaji
å Ualimu wa Neno la Mungu
å Unabii
å Uinjilisti

Huko anakotaka kuingia na kazi anayotaka kwenda kuifanya (Uanasiasa 100%) siyo wito wake unless awe amezungumza na Mungu kwelikweli na kumruhusu kwenda huko kwa sbb labda Mungu anataka kutimiza kusudi fulani maalumu kwa wanadamu (Watanzania) kupitia yeye...

Bila shaka kwa Mungu hili linawezekana kabisa.

Lakini kama ni tamaa yake tu ya kujituma kutaka madaraka ya kidunia pasipo sauti ya Mungu, basi amebugi sana.

Aidha mimi sisemi kuwa hawezi kushinda Ubunge (japo maombi yangu ni ASHINDWE lakini si mapenzi yangu ila ya Mungu ndiyo yanayotimizwa).

Ni kwa sababu, Mungu aweza kumuacha akashinda na kupata kile moyo wake ukitakacho, lakini kile cha thamani alichopewa na Yesu Kristo, atakipoteza na ndiyo itakuwa mwisho wake.
 
Kwa jinsi kashfa za utapeli, uongo, mambo mbali mbali zinazo ibuliwa kwa mgombea wao hata kabla ya kampeni kuanza wamesha ona walifanya papara kumpitisha Gwajima.

Sasa hivi yale mambo ya kufufua watu, kumtukana Askofu Pengo, picha za ngono na kubadili madrasa za kiislamu kuwa Sunday schools ndio yanaibuliwa kwa nguvu sana hakuna mfano na muda wa kumsafisha hakuna.

Ni bora hata wangempitisha mwenzetu Pascal Mayalla asiye na kashfa
jimbo la Kawe na chama chetu cha mbogamboga ni kama mashariki na magharibi!
 
Back
Top Bottom