Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 308
Kuna siku nilimpigia mpenzi wangu simu, akasema subiri nikifika Nyumbani nitakupigia nimemsindikiza dada kazini kwake hapa Mlimani City mara moja, alipokea kana kwamba ana wasiwasi, na ukizingatia nikachukulia labda kwakuwa Dada yake hapendi niwe na mdogo wake ndo sababu,
Baadaye hakunitafuta ilikuwa saa mbili usiku, nikapiga simu haikupokelewa tena, nikapiga simu tena haikupokelewa, baadaye akaikata, ndo haikupokelewa mazima. Saa tano nikamuona hewani, halafu akatoka hata text zangu za WhatsApp hakuzisoma, nikakaa kimya. Akaamka asubuhi saa 4 ananitext good morning love, nilimjibu lakini nikamuuliza mambo kadhaa.
Wivu upo lakini tusiseme ni wivu tu yawezekana nilikuwa sahihi kuwaza vile.
Nareport kutoka Msoga