Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,789
- 51,557
Jibu swali mkuu.unatambulika kwao kihalali??umelipa mahari??Kwanini
Nairejea aya yako yakwanza kuwa “dada yake hapendi mahusiano yenu”
Swali ni kwamba umelipa mahari kwao???maana umesema kwenu anatambulika.je kwao na wewe unatambulika kihalali?
Ukinipa maelezo mazuri hiyo aya ya mwanzo kabisa nitielewa then nitakupa majibu ya kiume ingawa mimi ni mtoto wa kike