sjosh4
JF-Expert Member
- Apr 10, 2020
- 888
- 944
Mkuu, mi kuna mmoja nikipiga mara apokee mara asipokee, sms hivyo hivyo . Nikamuhesabia day 1,2,3,ya nne nikafuta na namba yenyewe.Mkuu uko sahihi sana,Kuna baadhi ya wanaume wanafikiri kuwa too loyal,calm low key labda ndo kuwa romantic, hakuna kitu kibaya km kumuonyesha mwanamke sign ya weakness maana ndo mwanzo wa kutawaliwa , .. jiamini ,ishi kwa misingi yako mwenyewe ,
Jana anapiga simu analilia, nikamwambia sina muda wa trial and error na gari yangu haina gia ya reverse.