Jakamoyo msoga
Member
- Jul 18, 2019
- 76
- 308
Na nimeshamtambulisha homeUnamalengo nae??nijibu kwanza
Inaonekana wewe ndie unaempeda zaidi.
Kuna Mwanamke Bikra?Ulimkuta bikra?
wewe umemaliza kila kitu, notedMwanaume jifunze kuwa Self-respect katika mapenzi, sio kwenye mapenzi tu, hata kwenye aspect nyingine za maisha.Jiamini alafu uwe na misingi yako ya maisha,yeyote yule atakae onekana kukudharau nakutaka kukutawala kwa namna isiyopendeza, basi jitahidi uwe na courage ya kumuonya bila kupepesa macho, na akionekana kichwa ngumgu mwambie apite kushoto hata kama unampenda sana,kwasabu hata ukiendelea kua nae hakuna lolote utakalo faidi zaidi ya maumivu kuwa mengi kuliko furaha.
NB:The more you act desiperate to a woman, the more you look inferior.
Hii naomba irekebishwe kidogo halafu tuitie kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano...[emoji1547][emoji1547][emoji1547]Mwanaume jifunze kuwa Self-respect katika mapenzi, sio kwenye mapenzi tu, hata kwenye aspect nyingine za maisha.Jiamini alafu uwe na misingi yako ya maisha,yeyote yule atakae onekana kukudharau nakutaka kukutawala kwa namna isiyopendeza, basi jitahidi uwe na courage ya kumuonya bila kupepesa macho, na akionekana kichwa ngumgu mwambie apite kushoto hata kama unampenda sana,kwasabu hata ukiendelea kua nae hakuna lolote utakalo faidi zaidi ya maumivu kuwa mengi kuliko furaha.
NB:The more you act desiperate to a woman, the more you look inferior.
Umelipa mahari?au ndo kinyemela mkuu kwenu wanamfahamu.Na nimeshamtambulisha home
Ni meirudiaMwanaume jifunze kuwa Self-respect katika mapenzi, sio kwenye mapenzi tu, hata kwenye aspect nyingine za maisha.Jiamini alafu uwe na misingi yako ya maisha,yeyote yule atakae onekana kukudharau nakutaka kukutawala kwa namna isiyopendeza, basi jitahidi uwe na courage ya kumuonya bila kupepesa macho, na akionekana kichwa ngumgu mwambie apite kushoto hata kama unampenda sana,kwasabu hata ukiendelea kua nae hakuna lolote utakalo faidi zaidi ya maumivu kuwa mengi kuliko furaha.
NB:The more you act desiperate to a woman, the more you look inferior.
KwaniniUmelipa mahari?au ndo kinyemela mkuu kwenu wanamfahamu.
Kama umelipa mahari kwao kaeni mzungumze.
Kama hujalipa mahari kwako na unajitesa bure naomba nikupe hongera maana na wewe hueleweki mkuu.
*hii comment inategemea na majibu yako