Sijui kwanini huwa najihisi vibaya mpenzi wangu asipopokea simu usiku

Jibu swali mkuu.unatambulika kwao kihalali??umelipa mahari??

Nairejea aya yako yakwanza kuwa “dada yake hapendi mahusiano yenu”

Swali ni kwamba umelipa mahari kwao???maana umesema kwenu anatambulika.je kwao na wewe unatambulika kihalali?

Ukinipa maelezo mazuri hiyo aya ya mwanzo kabisa nitielewa then nitakupa majibu ya kiume ingawa mimi ni mtoto wa kike
 
Tafuta alternative akizingua huyu unajipoooza kwingine
 
Sasa unasubiri nin kumblock? Au unataka akuongopee alipokua jana
 
kuna wanawake takriban bilioni 4 ivi bado umeng'anga'ana na uyo malaya( ndio ni malaya tena kagongewa gesti)
 
Dada yake hataki aolewe na mimi kisa Kuna masuala ya Kifamilia, japo msichana aliniambia hana mpango wa kusikiliza Dada yake anasema nini

Kiufupi kwao nilitambulika baadhi ya ndugu wakahafiki, wengine wakakataa miongoni ni huyo dada ambaye alisema kamsindikiza kazini kwake,

Pia hatua za kulipa mahari bado, ndo mshenga ameenda mara ya kwanza,

Ni hayo
 
Yani asipoelewa hapa hawezi elewa tena
 
Kwako mwalimu kashasha unazungumziaje suala hili?
 
Mkuu hii ndo comment Bora kwenye huu uzi
 
Acha kuwa mtumwa wa hisia zako mwenyewe.
Huyu mwanamke ameshakuona wewe ni dhaifa na legelege. Huwa nikimpigia mtu na asipokee simu, sipigi mpaka apige au atume sms.
 
Acha kuwa mtumwa wa hisia zako mwenyewe.
Huyu mwanamke ameshakuona wewe ni dhaifa na legelege. Huwa nikimpigia mtu na asipokee simu, sipigi mpaka apige au atume sms.
Mkuu uko sahihi sana,Kuna baadhi ya wanaume wanafikiri kuwa too loyal,calm low key labda ndo kuwa romantic, hakuna kitu kibaya km kumuonyesha mwanamke sign ya weakness maana ndo mwanzo wa kutawaliwa , .. jiamini ,ishi kwa misingi yako mwenyewe ,
 
Usiumie kisa demu mkuu, hao ni jamaa tu sio ndugu zako! Sitaki kuongea vibaya ila ujue tu kuna biashara haramu ilikuwa inaendelea nshafanyiwaga hivyo several times.

Kuwa makini tu maana huyo manz unashea na mtu. Too bad if you are on the loosing side.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…