Sijui kwanini huwa najihisi vibaya mpenzi wangu asipopokea simu usiku

Mkuu uko sahihi sana,Kuna baadhi ya wanaume wanafikiri kuwa too loyal,calm low key labda ndo kuwa romantic, hakuna kitu kibaya km kumuonyesha mwanamke sign ya weakness maana ndo mwanzo wa kutawaliwa , .. jiamini ,ishi kwa misingi yako mwenyewe ,
Mkuu, mi kuna mmoja nikipiga mara apokee mara asipokee, sms hivyo hivyo . Nikamuhesabia day 1,2,3,ya nne nikafuta na namba yenyewe.
Jana anapiga simu analilia, nikamwambia sina muda wa trial and error na gari yangu haina gia ya reverse.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] noma
 
MATURED WORDS FROM REAL GENTLEMAN

BRAVO!
 
Piga chini huyo dada.
 
Mkuu, mi kuna mmoja nikipiga mara apokee mara asipokee, sms hivyo hivyo . Nikamuhesabia day 1,2,3,ya nne nikafuta na namba yenyewe.
Jana anapiga simu analilia, nikamwambia sina muda wa trial and error na gari yangu haina gia ya reverse.
Dah! Hiyo inaitwa kubwa kuliko
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] noma

Psychology: Mpende mke wako/ Mpenzi wako ila sio kumnyenyekea, kipumbavu.Wanawake wengi wanapenda kuwa na wanaume jasiri, wenye courage ya kuwaonya tena kwa misimamo mikali pale wanapo kosea. Hata kwambia ila moyoni mwake atajisikia kuwa very secured.

Kuwa mpole, kujifanya haujali sana, kuwa mtu wa low key hakukufanyi uonekane romantic, machoni mwa wanawake wa sikuizi na ni ujinga tu.Ndomaana
Utashanga sikuizi wanawake wengi wana milikiwa na badboys kuliko hawa wenzetu wa dizain ya kuku wa kizungu. Mwanamke akikuzingua, mface mchane apoapo bila kupepesa macho, akimind mwache aende, ujue kbs hawezi kufit kwny mfumo wako,using'ang'anie matatizo.
Some times inauma, kuacha umpendae, ila ni afadhali kuliko kuumia kila siku.Kwamfano huyo mwanmke, amini kwamba kuna siku nyngne hatapokea tena simu ya uyo jamaa, simply b'cs anajua kabs jamaa hanaga maneno

NB:YOU SHOULD ENSLAVE YOUR WOMAN EMOTIONALLY.
 
😂😂😂ndani ya haya maneno kuna hasira na uchungu mwingi sana. Au nimekosea mkuu?

NB; huu mchezo hauhitaji sheria wala hasira, the more unavyojitungia visheria sijui vi protective ideas and vimisimamu ndio utazidi kutoka nnje ya mchezo. 😂😂😂
 
Bro una madini Sana adse Ubarikiwe
 
Wanaume wengi ni inferior, ukihisi Mke wako anachepuka jua we ndo una mapungufu, mwanaume wa kweli hawazii mke wake kuchepuka maana anakuwa anajiamini kwa mengi,
 
Ukiona hvo ujue wewe kwenye mapenz wewe ndo unadata sana yani unapenda sana kitu ambacho Ni kosa ...tafta mwanamke anaekupenda sana wewe...akiona missed call yako anahis kuchanganyikiwa
 
Mida ya kutoka lodge kabisa hiyo, hata hivyo unatakiwa ujue alikuwa anakazwa...sijui ji ukongwe ama ni nini, kosa kama hilo nahama venue mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…