Sijui kwanini huwa najihisi vibaya mpenzi wangu asipopokea simu usiku

Na majina yanachangia kuleta nux [emoji23] "Jakamoyo"

But suffering is not a punishment it's a result.
Una suffer kama matokeo ya kupenda kiboya, na huyo mwanamke keshagundua ndo maana ana take advantage, be man stop crying like a baby, fanya maamuzi ya kigumu achana nae kama huwezi acha kujirahisisha kwake
 
Kama machale yanakucheza STUKA!!! Alitakiwa akupigie baada ya dakika chache. Kama anafanya hivyo mara kwa mara basi kuna mtu mnakula chungu kimoja.
Jamaa wala hastuki
 
Ukiona manyoya....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…