Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

Sijui kwanini huwa simuamini January Makamba

Jibu swali si viroja mkuu
Nilisahau kusema kuwa humu pia tuna mayaya ambao kazi yao ni kulisha watoto wadogo by spoon fed!. Mimi kazi yangu ni kupika, na kupakua tuu na kukuletea chakula kwenye sahani, na kukuwekea kijiko uchote mwenyewe, uweke mdomoni mwenyewe, utafune mwenyewe ndipo umeze!. Sasa hawa wanaotaka kulishwa kutafuniwa wao ibaki kumeza tuu!, sorry I can't help!.
P
 
Nipo hapa saluni kinyozi kafata mafuta awashe jenereta amalizie kuninyoa.umeme umekatika wakati nishaanza kunyolewa.
hii ndo Tanzania ya karne ya 21,tulipofikia sasa baada ya miaka 60 ya uhuru.
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P
Hujanijibu hoja zangu kiongozi!!!

Nikikuuliza tu simple question kwamba tokea makamba awe waziri wa nishati ni kipi cha maana kakifanya unaweza kuniambia tafadhali?

Kwasababu kama ni kumpima tushampima vya kutosha

Uwezo wa kujenga hoja hana

Ni mtu wa maneno mengi utekelezaji zero

Ni mtu wa maneno matupu vitendo ni zero

Ni mtu wa ahadi tu but implementation ya ahadi hamna

Ni mtu wa cheap politics siasa za kupanic panic hovyo

Ni mtu mwenye makandokando ya ufisadi mengi sana

Ana uwezo mdogo wa kujenga hoja anazidiwa hadi na wasio na shule

Urais wa mtu unapimwa kwa outputs na kuwa uwezo wa kutekeleza mambo na kufanya maamuzi

Akigombea hawezi kushinda kwa kura za wananchi may be support from deep state maana sisiem bila dola (Polisi TISS) haiwezi kusavaivu
 
Ulichoandika hapa ukitaka kujua ni kitu gani basi jitie dole nusa. Hiyo harufu nchi umeandika hapa. Pumba kiasi kwamba hakuna hata mtu anaweza kupoteza muda kukuelewesha ila kwa taarifa yako January ni moja ya wanasiasa tegemeo kubwa sana kuja kuweka mfumo mpya wa kuindoa nchi katika mkwamo. Keep hating.
Hahahaha[emoji23]

Stop taking nonsense!!

Mkwamo upi wizara tu ya nishati imemshinda ataweza kipi kingine??
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P

Rais anayefuata wala hata hazungumziwi sana

Alikuwepo Lowasa jmn...ila ndo hivyo Mungu ana mipango yake

Itakua km ilivyokuwa kwa Magufuli
 
Nchi ya waganga wa kienyeji na walozi AT ITS BEST. Rais anatafutwa kwa kupiga ramli na kuagua!

Siku itakapofika tukajua kuwa Rais anayetakiwa katika nchi hii ni yule Mtanzania aliyepigiwa kura nyingi na wananchi wapiga kura basi ndipo tutakapoeleweka kama taifa la watu wenye akili. Vinginevyo tuendelee kulogana tu kama alivyotuita Trump.

Wangapi walimjua Barack Obama kabla ya 2008? Wangapi walimjua Donald Trump kabla ya 2016? Eti HM?, JM? … who the hell are those folks? And who are “we” to impose them on others?
 
Huyu jamaa ni asset. Watajaribu sana kumchafua lakini kama amepangwa kuja kuwa Rais wa Tanzania atakuwa. Mfano hapo huyu jamaa kasema madili, muulize dili lipi? Kajenga uwanja kwao? Kajenga apartments mji mzima huu? Au kama kambale wao alivyomjengea kimada hoteli mwenge.

Anatumia nguvu kubwa sana kulipa watu wamtetee kwenye mitandao

January ni bingwa wa fitna na uchawi anautaka Uraisi kwa mvua na Jua lakini hatokuja Kua , ni afadhali wamludishe bara Dr. Hussein Mwinyi kuliko huyu mpigaji

Anatutesa na umeme hili Mama samia aonekane hafai 2025 aingie yeye
 
Huyu Bimkubwa mzenji ana tabu sana yaani vijana na wazee wajinga kawajaza kwenye cabinet yake , mwenyewe anawaamini kweli kumbe yu awapaisha yeye mwenyewe nao wakipambana kutengeneza mazingira ya kukua kisiasa ili wachukue kiti chake!! Yaani sijui urais una nini yaani kama huyu msambaa na yule bwana tozo rais wa mawe wakifa bila kuwa rais hawataenda kuzimu watabaki duniani wakizunguka kama mandondocha!

Kwa sasa upigaji umerudi kila ofisi , ina maana Bimkubwa is weak? kila wizara imejaa uozo tu sasa si kama enzi za Magu watu walichapa kazi!!

Bimkubwa amka sasa wanakufelisha hao makusudi wanataka kiti chako!

MZee wa Tozo ni waziri pekee mtiifu na mwaminifu kwa Mama hawezi kumpindua wala kumgeuka

MZee wa tozo sio mtu Fitna za vijana wa Mjini kwa yeye kuja kua Raisi ni ngumu Labda aanze kujifunza figisu figisu na uchawi kama wenzie
 
Mimi kila anachokisema huyu bwana huwa nakitupa kwenye dastubi[emoji706][emoji706]

Huyu mtu huwa simuamini hata chembe

Je, ni mimi mwenyewe?Huwa ni ngumu sana kumuamini huyu jamaa?

Kuna chapisho moja niliona akisaini mkataba wa gesi wa trilioni 93 nikasema mhhhhh!

Sijui kwanini huwa simuamini January aisee?
Nami uwa napata shida naye, simuamini na sitegemei kumuamini mpaka siku natoka hapa duniani.
 
Makamba hana sifa ya kuwa kiongozi nikupe taarifa hiyo

Kwanza ni selfish, mpigaji, fisadi, na kanjanja wa madili.....

Nikuulize tu toka amekua waziri wa nishati kaleta outputs gani kwenye umeme au wizara yote?

Mnamkuza sana but he is good for nothing.......
Ukitaka kumjua huyu MTU yukoje angalia tu babake alivyo. Maana LIKE FATHER LIKE SON. Kwa hiyo ni mtu ovyo na hatari sana. Hafai hata udiwani kwa vile Katiba mbovu
 
Huyu jamaa ni asset. Watajaribu sana kumchafua lakini kama amepangwa kuja kuwa Rais wa Tanzania atakuwa. Mfano hapo huyu jamaa kasema madili, muulize dili lipi? Kajenga uwanja kwao? Kajenga apartments mji mzima huu? Au kama kambale wao alivyomjengea kimada hoteli mwenge.
He can't be president
 
Mimi kila anachokisema huyu bwana huwa nakitupa kwenye dastubi[emoji706][emoji706]

Huyu mtu huwa simuamini hata chembe

Je, ni mimi mwenyewe?Huwa ni ngumu sana kumuamini huyu jamaa?

Kuna chapisho moja niliona akisaini mkataba wa gesi wa trilioni 93 nikasema mhhhhh!

Sijui kwanini huwa simuamini January aisee?
Bush Electrical Engineer Kipara,the Prince of Msoga Kingdom and Duke of Bumbuli!
 
He is a statesman!, kiukweli baada ya Tanzania kuongozwa na nyapara, watu wamezoea kuswagwa, anapotokea a statesman, watu wananuona weak, hebu msikilize hapa kwenye smart objectives zake ndio utaelewa
Take it from me, this fellow can make the best president this country has ever had!. The problem with we Tanzanian, kutokana na ule ujinga fulani, naomba nisiutaje, we never pick the best!.

Bahati mbaya sana wengi wetu wana macho ya nje, hivyo wanamchagiza Samia for 2025, sisi wenye jicho la tatu la ndani ndio tunamsaidia Samia kiukweli zaidi kwa kushauri the right thing to do 2025 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, hivyo kama sio HM then ni JM, 2030 ndipo aje TA!.
P
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani!
Ungesema Husein Mwinyi ungeeleweka kwasababu tunaona kazi zake kule Zanzibar,ata Hayati Magufuli alipendekezwa kwa kazi alizofanya na tuliziona kwa macho.
Mimi January namuona anafaa kuwa Mshauri au kama Uwaziri basi aende Foreign Ministry.
 
Na kibaya zaidi ni kuwa viongoz hao waliopita ambao mnawapigia chapuo watoto wao ,hawakuwa na mafanikio yeyote
Viongozi waliopita ambao watoto wao wako siasani ni wengi tukianzia na Mwinyi, Kikwete na Makamba. Ni kweli hawakuwa na mafanikio yoyote?.
.Huku nje kuna Watanzania wengi wenye talent ,kubwa tunawaacha au kuwazuia kuingia kwenye system za Tanzania.Kweli Tanzania itafika ?
Mkuu kumusoma , hili Watanzania wengi wenye talent ya uongozi na uwezo wa ku deliver wapo wakiachwa tuu na wale wanaojaribu kuingia wanazuiwa, wanakatwa, wanachinjwa na kuchinjiwa baharini, hili nakubaliana na wewe, na mimi mwenyewe ni mhanga!.
Kwa ruhusa yako, nimekuwa inspired kuandika kitu juu ya hili, hivyo hoja yako hii ni mbegu ya mimi kuoteshea bandiko langu fulani.

Kwenye EALA Tanzania tuna nafasi 9, siku zote tunapeleka baadhi ya wawakilishi wazuri wachache na makorokocho kibao!.

Ilipotokea fursa mwaka jana nikajipima nikaona ninatosha, kazi yangu ya kwanza ikawa ni uelimishaji umma na chama changu kwanini Tanzania tunahitaji kupeleka watu wazuri kule EALA kwa kushauri tutawapimaje wagombea ili tupate the best of the best Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo

Kwenye chama changu wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8. Mimi sikupita kwa kuzidiwa sifa ila kati ya waliopitishwa kuna wazuri wachache na makorokocho kibao! EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!
, huku kati ya walioachwa kuna some real good stuff!.

Uchaguzi wa EALA ulipaswa kufanywa na Bunge la JMT kwa kupelekewa majina ya wagombea wa kupigiwa kura na wabunge. Kilichofanyika ni kikao cha uteuzi cha CCM kikateua majina 8 ya wana CCM na kuyapeleka Bungeni, hivyo kazi ya Bunge haikuwa kuchagua bali ku endorses majina ya CCM because there was no choice to choose from!. Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

From there nikaamua kujitolea kusaidia taifa langu kwenye hili, na kazi yangu ya kwanza ni uelimishaji umma ambayo naendelea nayo,
Baadhi ya makala za uelimishaji umma kuhusu hili ni hizi

Makala hizi hazitaishia kwenye maneno maneno ya kuandika tuu na kusema sema tuu, zitafuatiwa na actions fulani this year! Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P.
 
Hujanijibu hoja zangu kiongozi!!!
Mbona nilikujibu vizuri tuu na video from the horses mouth!
Nikikuuliza tu simple question kwamba tokea makamba awe waziri wa nishati ni kipi cha maana kakifanya unaweza kuniambia tafadhali?
1. Ameibadili Tanesco
2. Ame speed up ujenzi wa JNHPP
3. Ame rudisha LNG project
4. Bomba la mafuta la Uganda
5. Amehamashisha matumizi ya Gesi majumbani
6. Amehamashisha matumizi ya gesi kwenye magari
7. Amehamashisha uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu ya nishati
8. Amehamashisha kupunguza utegemezi wa nishati ya tungomotaka
9. Amehamashisha matumizi ya nishati jadidifu
10. He is reachable kwa waandishi wa habari, anapatika kwa call in appointment na anajibu swali lolote la nishati bila kusita!.
Kwasababu kama ni kumpima tushampima vya kutosha

Uwezo wa kujenga hoja hana
Sii kweli, ni mjengaji hoja mzuri!
Ni mtu wa maneno mengi utekelezaji zero
Sii kweli, maneno mengi kweli ila mambo yanatekelezwa!.
Ni mtu wa maneno matupu vitendo ni zero
Sii kweli, mambo yanatendeka na watu tunashuhudia, JNHPP maji yanajazwa!.
Ni mtu wa ahadi tu but implementation ya ahadi hamna
Not true!. Kuna mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu hivyo mambo yanakwenda.
Ni mtu wa cheap politics siasa za kupanic panic hovyo
Not true!, huyu ni one of the coolest guys in the cabinet, he never panics at all!.
Ni mtu mwenye makandokando ya ufisadi mengi sana
Kwa hili naomba nisimtetee ila yataje yaweke hadharani, kama una ushahidi, then ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Ana uwezo mdogo wa kujenga hoja anazidiwa hadi na wasio na shule
It's the other way round, ana hoja kubwa nzito kuliko the standard comprehension ya watu wetu wengi, hivyo hamwelewi!
Urais wa mtu unapimwa kwa outputs na kuwa uwezo wa kutekeleza mambo na kufanya maamuzi
Mwinyi kabla hajawa rais wa JMT alipimwa kwa output gani?.
Mkapa kabla hajawa rais wa JMT alipimwa kwa output gani?
JK kabla ya urais wa JMT alipimwa kwa output gani?.
Rais pekee tuliompa urais kwa kipimo cha output ni JPM pekee!, tena kuna akina sisi, tulimtaja toka ile 2014 na tukawapa na angalizo
Akigombea hawezi kushinda kwa kura za wananchi may be support from deep state maana sisiem bila dola (Polisi TISS) haiwezi kusavaivu
hata hili sii kweli, sii kweli kuwa CCM inashinda kwa support from the deep state, CCM inashinda kwasababu it's the one and only serious credible party in Tanzania with the ability and capability!. CCM hakina mpinzani wala mshindani!, kinashindana na vyama wasindikizaji tuu!.

Mtaji mkubwa wa ushindi wa CCM ni ignorance ya Watanzania kufanya informed decision, hivyo kwenye urais mgombea wa CCM ndie rais wa nchi yetu hata awe kiazi vipi!.
P
 
Wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani!
Mkuu butron, kwanza asante sana kwa mchango wako very objective, watu wenye objectivity ya kiwango hiki humu jf wanahesabika!. Thanks for this.
Ungesema Husein Mwinyi ungeeleweka kwasababu tunaona kazi zake kule Zanzibar,
Hili nimelisema hadi kumchagiza Mama asigombee 2025 na badala yake ampishe Dr. Hussein Mwinyi aje huku bara kumalizia mitano yake halafu 2030 ndipo tulete mgombea urais Mwanamke!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
ata Hayati Magufuli alipendekezwa kwa kazi alizofanya na tuliziona kwa macho.
Ni kweli baada ya kupenyezewa jina la JPM ile 2014, akina sisi tulilishusha hilo jina humu na tukalitolea angalizo!. Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Mimi January namuona anafaa kuwa Mshauri au kama Uwaziri basi aende Foreign Ministry.
Naunga mkono JM apelekwe MFA kwenye the ncubator ya marais wetu diplomatic kama Mkapa na JK, apikwe awive!.

Sikupendezwa na kutumbuliwa kwa yule Balozi pale MFA Should We Demand More Right to Information Kwenye Teuzi za Key Posts? Ziwe Endorsed na Bunge With Security of Tenure? Mawaziri Wasiwe Wabunge?
Na kusema la ukweli huyu mama aliyepo pale hawezi! Kwasababu thought she is a diplomat, but she is not a diplomatic, ni technocrats angefiti sana MOF.
P
 
Back
Top Bottom