Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Wala barabara haifiki jengo lilipokuwa.Sasa huoni barabara imetanuliw na bado inaongezwa au
Lengo ni kufanya njia nane mpaka chalinz kupunguza foleni
Hao ni takatakaNa wewe jiulize ni kwanini hivi karibuni Samia aliamua kuvunja jengo la kanisa ambalo waumini wa gwajima waliamia kusali pale kibo.
Dogo sikia, usitupoteze malengo.....hatutaki kujuwa hili tunanchotaka tu ni kujuwa ni lini wana CCM mtandao watashikishwa adabu wao na familia zao basi na si vinginevyo. Tunataka pia yule Mama kuwadi wa CCM (Mama Kizigha) akamatwe na kushitakiwa kwa wizi aufanyao.https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Alishauriwa vibayahttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Yani ulitaka barabara ifike mpaka jengo lilipokuwa ndiyo uelewe? Kama ni hivyo basi tatizo liko kwenye uwezo wako wa kuelewa. Hata ukiambiwa maana ya road reserve huwezi kuelewa.Wala barabara haifiki jengo lilipokuwa.
Kwa hiyo urais ni komoa komoa?Na wewe jiulize ni kwanini hivi karibuni Samia aliamua kuvunja jengo la kanisa ambalo waumini wa gwajima waliamia kusali pale kibo.
Wala barabara haifiki jengo lilipokuwa.
Jengo lile limevunjwa kwa kibri ya kisiasa na sifa.Mimi nadhani kunatofauti kubwa kati ya kuvunjwa na kurekebishwa. Hilo jengo limerekebishwa halijavunjwa.
Upande mmoja uliopunguzwa ulikuwa unaona kabisa umeingia barabarani.
Na kwa barabara alizojenga njia nane na bado foleni ndio inazidi na sasa bado zinaongezwa nyingine sidhani kama ingekuwa poa kuliacha hivyo hivyo.