Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Alikuwa ni mtu wa kukurupuka na mijigambo na sifa mzee yule
Na ndio maana ikifanyika hujuma, hata awe Rais, sheria ichukue mkondo wake.Alikuwa ni mtu wa kukurupuka na mijigambo na sifa mzee yule
Ngoja kwanza tupate majibu ya hoja zote za Polepole ndo tuje kujadili hayo mengine yasiyo na maana.https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Nyie vihiyo uwezo wenu wa kufikiri ndo mtaibomoa hata Kijazi Interchange, ati iko road reserve.Wewe nae ni lijinga, Tanesco wamejenga kwenye road reserve wanastahili kuondolewa!
Ww fani Yako ni ipi kwanza kwenye ujenzi!? Inawezekana tunajibizana na kichaahttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Matumizi mabaya ya madaraka, na hapo kuna hujuma.Walimzuia kufanya ivo wakati ni Waziri wa Ujenzi alivyotwaa ukuu wa Nchi alisema mbele ya Mzee Pinda kuwa aliwahi kuzuiwa Kubomoa ilo jengo ila kwasasa Kwa kuwa yupo kwenye kiti kikuu akampa mkandarasi go ahead kuwa afanye maamuzi yoyote juu ya ilo jengo
Chuma kinaendelea kuishi mioyoni mwa wapenda Tanzania!
Ataendelea ishi daima. Hakika tuna mkumbukaChuma kinaendelea kuishi mioyoni mwa wapenda Tanzania!
Hakika Magufuli mbegu uliyoipanda imekua, imesambaa hadi nje ya Africa,
Polepole ametufumbua macho dhini ya mumiani CCM mtandao ambao wanatumia watu na kisha kuwaua ili kupotesza ushahidi!
😂😂😂 Ndiyo ndiyo 2040 lazima upite 😂Bomoa kabisa.
Siku nikiwa Rais wa Tanganyika naanza kubomoa nyumba ya chiembe.
Hata ujenge wapi, ntakufuata huko huko ulipo.
Barabara lazima ikutembelee.
Mungu amsamehe makosa yake yote
AmenMungu amsamehe makosa yake yote