Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

Mimi nadhani kunatofauti kubwa kati ya kuvunjwa na kurekebishwa. Hilo jengo limerekebishwa halijavunjwa.
Upande mmoja uliopunguzwa ulikuwa unaona kabisa umeingia barabarani.
Na kwa barabara alizojenga njia nane na bado foleni ndio inazidi na sasa bado zinaongezwa nyingine sidhani kama ingekuwa poa kuliacha hivyo hivyo.
Kuna njia nane hapo ubungo tanesco?
 
Jidu La Mabambasi wewe ni mtoto mdogo huwezi ona miaka 50 hata ile 20 ijayo Tanzania itakuwaje

Achana na JPM, aliyoifanyia hii nchi, hata ukifa wewe, kizazi chako kitayaishi matendo makubwa ya JPM

Unadhani hiyo barabara kuifanya iae njia nane ni akili ndogo hiyo?

SGR, JKNHP, siyo kihivi hivi tu, ni upeo wa kibinafsi
Upana wa barabara ya morogoro uliwekwa na mkoloni, serikali miaka ya 90 iliwalipa wenye nyumba pembezoni,zilipo ofisi za tanesco barabara wala hifadhi yake havifiki, inasemekana jengo lililobomolewa ni la lowasa akiwapangisha tanesco
 
Lengo lilikuwa ni kujenga flyover ya kimataifa lakini alipofariki Samia akatujengea kimsalaba Cha ajabuajabu baada ya kula pesa za mradi ilivyotarajiwa kujengwa hapo.
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414

View attachment 3459236​

Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.

Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?

Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Magu mimi namsamehe kea kila kitu
 
IMG_1812.jpeg
 
Nchi hii mashoga wengi
 
Sasa huoni barabara imetanuliw na bado inaongezwa au

Lengo ni kufanya njia nane mpaka chalinz kupunguza foleni
Wanaanza kumtafutia makosa Magufuli na Polepole ili kuwahamisha watu fikra🤣🤣🤣
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414

View attachment 3459236​

Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.

Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?

Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Shida ilikua hivi mwenye hilojengo ali msemavibayasana maana tanesco hilojengo walikodi zingatia lilipovunjwa kuna mwana ccm alikua Chadema aka rudi ccm je umemjua
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414

View attachment 3459236​

Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.

Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?

Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Unahangaika na mfu unaacha mhujumu uchumi aliye hai kwa kuuza nchi??
 
Back
Top Bottom