Lattafa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2025
- 497
- 738
Ili ule Chips Yai Lazima Mayai yavunjwe.Kwa hiyo urais ni komoa komoa?
Hata ukiwa rais, kwa mali ya umma kuwepo kuwajibika.
Ili ule Chips Yai Lazima Mayai yavunjwe.Kwa hiyo urais ni komoa komoa?
Hata ukiwa rais, kwa mali ya umma kuwepo kuwajibika.
Alivunja jengo la TANESCO bila sababu.
Huwezi ona sasabu kwa sasa hivi kwasababu umeamua kutokuiona.Alivunja jengo la TANESCO bila sababu.
Ninyi vihiyo hata imagination inawapiga chenga.The way magufuli alivyotanua barabarani hiyo ya mbezi, Mapingamizi aliokutananayo kutoka kwa wananchi na baadhi ya wanasiasa.
Na Leo hali inavyoonekana Wingi wa watu na foleni kwenye hiyo barabara.
Itoshe kusema Magufuli uwezo wake wakufikiri na kuona mbele ulikuwa uko juu sana
Bwashee punguzaga uzuzu basi 😂✔️Wala barabara haifiki jengo lilipokuwa.
Uzuzu ni ushamba wa madaraka, na wale wanaoshabikia hilo.Bwashee punguzaga uzuzu basi 😂✔️
Right of Way before kupunguzwa upande mmoja ilikuwa ngapi mkuu.Ninyi vihiyo hata imagination inawapiga chenga.
Basi kwa ufinyu wenu wa kufikiri , basi na interchange ya Kijazi ivunjwe kupisha barabara maana pale kuna nane (8 lanes) za kuingia na kutoka mjini na zimetosha.
Sasa kwa nini alivunja jengo la zTANESCO?
CCM wamekuletea baba Levo sijui kama utatoboa na zile bahasha za dreva teksi 😂😂✔️Uzuzu ni ushamba wa madaraka, na wale wanaoshabikia hilo.
Acha ujinga Right-of-Way ni ufinyu wako wa kufikiri.Right of Way before kupunguzwa upande mmoja ilikuwa ngapi mkuu.
Au kwa akili yako kidogo uliyonayo unadhani nafasi tu ya barabara ikitosha ndio inazingatiwa?
Angekuwepo mpaka leo hiyo barabara ingekua ishakamilika.Sasa huoni barabara imetanuliw na bado inaongezwa au
Lengo ni kufanya njia nane mpaka chalinz kupunguza foleni
Yaani wewe ni mjinga sijapata kuona sasa hoja ya daraja la mfugale imefikaje hapo. Kwanini watanzania tuko bado wapumbavu namna hii.Acha ujinga Right-of-Way ni ufinyu wako wa kufikiri.
Nimekuambia, Daraja la Mfugale livunjwe basi kupata hiyo right of way aliyoitaka Magufuli.
Uharibifu wa mali ya umma uadhibiwe!
Alivunja jengo la TANESCO bila sababu.
Acha uzuzu wa kufikiri .Yaani wewe ni mjinga sijapata kuona sasa hoja ya daraja la mfugale imefikaje hapo. Kwanini watanzania tuko bado wapumbavu namna hii.
Hilo jengo upande mmoja lilikuwa limesogea upande wa barabarani hata kwa macho ya kawaida lilikuwa linaonekana.
Kitu magufuli alichofanya kulipunguza upande uliozidi ni sahihi hata kwenye ishu ya safety.
Sio kila kitu ni kubishana sometimes jaribu kunyamaza ufiche ujinga ulionao
Hapa JF kuna wajinga wajinga fulani huwa wanadhani wana uwezo wa ku-manipulate akili zetu kumbe ukweli wana uwezo mdogo sana. Kuna mwingine yule anayejiita sijui Mtibeti. Hovyo sana.Dogo sikia, usitupoteze malengo.....hatutaki kujuwa hili tunanchotaka tu ni kujuwa ni lini wana CCM mtandao watashikishwa adabu wao na familia zao basi na si vinginevyo. Tunataka pia yule Mama kuwadi wa CCM (Mama Kizigha) akamatwe na kushitakiwa kwa wizi aufanyao.
Haa haa daa Another innocent neck carry a pumpkin headAcha uzuzu wa kufikiri .
Vihiyo kama ninyi wala hamupafahamu sehemu inayoongelewa.
Kama suala ninkupanua eneo hadi hapo Kijazi, hiyo right of way itaingilia wapi hapo interchange, na hiyo interchange ibomolewe(Magufuli way) ili upana huo huo ulatikana sambamna na jengo lililobomolewa.
Uwezo wenu wa kufikiri ni kuhesabu sifa tu za mharibifu Magufuli.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Upande mmoja jengo la Tanesco, upande WA pili Tenki la maji. Vyote viliondolewa kupisha Barbara. Hadi stendi ya daladala ilihamishwa. Zingine NI porojo Tu, sababu NI za kimsingi wala hakuna hujumahttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Ingawa alifuata sheria inavyotaka,hapakuwa na haja,sema nguvu ya uraisi altaka kuonyesha yeye ni naniAlishauriwa vibaya