Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

Ilikuwa ni namna bora sana ya kuonesha kuwa hakuna aliye juu ya sheria.Ingekuwa vipi Wananchi wavunjiwe jengo liachwe,Wananchi si zaidi ya hilo jengo? Unahurumia jengo zaidi ya Wananchi?.
 
Watetezi wa wana mtandao bwana... yaani tangu Polepole awalipue maboss wenu, mmekuwa mkija na maswali ya kipuuzi sana hili kuzima uchafu wa maboss wenu, halafu mnaishia kuonekana wajinga tu.

Sasa kama wewe mleta mada hii hili swali lako linakuonesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414

View attachment 3459236​

Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.

Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?

Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Mihemuko ya kisiasa.hadinleo hakuna kilichofanyika pale hadi wa hina wenyewe watengeneza barabara walishangaa kule barabara haifiki..mi naona bora wapandishe floo nyingnie nyuma ya ile ilobaki ili shoi iwe kama lilivyokuwa mwanzo
 
Watetezi wa wana mtandao bwana... yaani tangu Polepole awalipue maboss wenu, mmekuwa mkija na maswali ya kipuuzi sana hili kuzima uchafu wa maboss wenu, halafu mnaishia kuonekana wajinga tu.

Sasa kama wewe mleta mada hii hili swali lako linakuonesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
Mkuu challenge your brain.
Mijadala si blsck or white kama unavyofikiria.
Sisi wengine tuna shoot on all barrels!

Kama unafikiri kumkosoa Magufuli basi mtu ni mtandao, ni tusi kwa wenye vichwa vilivyoend shule.
Soma hiyoo….!
 
Basi unajiona eti huko smart kunijibu hivi na kunisoegezea na hiyo thread hapo ambayo inaonesha kumkosoa Kikwete...

.. Nyau wewe mimi nina akili kuliko wewe na watetezi wenzako wa mafisadi, mara nyingi huwa mnajifanya mko objective/neutral kwenye mtiririko wa mada mnazoleta hapa hili isiwe rahisi mtu kushtukia kama wewe ni mteteze wa wana mtandao, huwa mnaanza na mada za kuwapondea kiaina hao mabwanyeye wa mtandao.... halafu baadae ndio mnakuja mada kama hii ulioleta hapa, ambapo lengo ni kutaka jamii ipuuze mambo anayoyaongelea Polepole.

Wewe una akili kama za viongozi wa chauma wanaowaada wabongo kwa kupondea ccm huku kila mtu anajua ni kiini macho tu.
 
Ukiwa na akili ndogo endelea kuwa na akili ya pusi.
Maana umesha kuwa programmed!
Alipopotea Ben Saanane, alipouwawa Lwajabe, Polepole si allikuwepo?
Nyie pengine mlikuwa gesti!
 
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414

View attachment 3459236​

Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.

Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.

Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?

Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
wewe ulitaka aje kuyavunja matter call yako?
 
Nani anaweza kuShare hapa ule mchoro wa kwanza wa Ubungo interchange, kwasababu hii iliyojengwa si sawa na kwenye ile ya kwanza.
 
1756719942433.png
 
JPM amefanya mambo mengi mazuri na lazima tutamkumbuka, lkn kwa ubomoaji wa hili jengo mimi hapana, big NO.
 
Back
Top Bottom