Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

Ninyi vihiyo hata imagination inawapiga chenga.
Basi kwa ufinyu wenu wa kufikiri , basi na interchange ya Kijazi ivunjwe kupisha barabara maana pale kuna nane (8 lanes) za kuingia na kutoka mjini na zimetosha.

Sasa kwa nini alivunja jengo la zTANESCO?
 
Right of Way before kupunguzwa upande mmoja ilikuwa ngapi mkuu.
Au kwa akili yako kidogo uliyonayo unadhani nafasi tu ya barabara ikitosha ndio inazingatiwa?
 
Right of Way before kupunguzwa upande mmoja ilikuwa ngapi mkuu.
Au kwa akili yako kidogo uliyonayo unadhani nafasi tu ya barabara ikitosha ndio inazingatiwa?
Acha ujinga Right-of-Way ni ufinyu wako wa kufikiri.
Nimekuambia, Daraja la Mfugale livunjwe basi kupata hiyo right of way aliyoitaka Magufuli.
Uharibifu wa mali ya umma uadhibiwe!
 
Acha ujinga Right-of-Way ni ufinyu wako wa kufikiri.
Nimekuambia, Daraja la Mfugale livunjwe basi kupata hiyo right of way aliyoitaka Magufuli.
Uharibifu wa mali ya umma uadhibiwe!
Yaani wewe ni mjinga sijapata kuona sasa hoja ya daraja la mfugale imefikaje hapo. Kwanini watanzania tuko bado wapumbavu namna hii.
Hilo jengo upande mmoja lilikuwa limesogea upande wa barabarani hata kwa macho ya kawaida lilikuwa linaonekana.
Kitu magufuli alichofanya kulipunguza upande uliozidi ni sahihi hata kwenye ishu ya safety.
Sio kila kitu ni kubishana sometimes jaribu kunyamaza ufiche ujinga ulionao
 
Alivunja jengo la TANESCO bila sababu.

Lingeachwa hilo, je uhalali wa kubomoa makazi ya raia wa kawaida ungepatikana vipi?

Na huko kwingine kusingebomolewa upanuzi wa barabara ungefanyika vipi?

Je, jengo la Tanesco lilikuwa au halikuwa kwenye hifadhi ya barabara?

Kama nia ya kubomoa ilikuwa ni kuwakomoa Tanesco au mmliki wa jengo, iweje walibomoa jengo moja tu kati ya majengo mawili?
 
Acha uzuzu wa kufikiri .
Vihiyo kama ninyi wala hamupafahamu sehemu inayoongelewa.
Kama suala ninkupanua eneo hadi hapo Kijazi, hiyo right of way itaingilia wapi hapo interchange, na hiyo interchange ibomolewe(Magufuli way) ili upana huo huo ulatikana sambamna na jengo lililobomolewa.
Uwezo wenu wa kufikiri ni kuhesabu sifa tu za mharibifu Magufuli.
 
Hapa JF kuna wajinga wajinga fulani huwa wanadhani wana uwezo wa ku-manipulate akili zetu kumbe ukweli wana uwezo mdogo sana. Kuna mwingine yule anayejiita sijui Mtibeti. Hovyo sana.
 
Haa haa daa Another innocent neck carry a pumpkin head
 
Upande mmoja jengo la Tanesco, upande WA pili Tenki la maji. Vyote viliondolewa kupisha Barbara. Hadi stendi ya daladala ilihamishwa. Zingine NI porojo Tu, sababu NI za kimsingi wala hakuna hujuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…