gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Kuna njia nane hapo ubungo tanesco?Mimi nadhani kunatofauti kubwa kati ya kuvunjwa na kurekebishwa. Hilo jengo limerekebishwa halijavunjwa.
Upande mmoja uliopunguzwa ulikuwa unaona kabisa umeingia barabarani.
Na kwa barabara alizojenga njia nane na bado foleni ndio inazidi na sasa bado zinaongezwa nyingine sidhani kama ingekuwa poa kuliacha hivyo hivyo.
Upana wa barabara ya morogoro uliwekwa na mkoloni, serikali miaka ya 90 iliwalipa wenye nyumba pembezoni,zilipo ofisi za tanesco barabara wala hifadhi yake havifiki, inasemekana jengo lililobomolewa ni la lowasa akiwapangisha tanescoJidu La Mabambasi wewe ni mtoto mdogo huwezi ona miaka 50 hata ile 20 ijayo Tanzania itakuwaje
Achana na JPM, aliyoifanyia hii nchi, hata ukifa wewe, kizazi chako kitayaishi matendo makubwa ya JPM
Unadhani hiyo barabara kuifanya iae njia nane ni akili ndogo hiyo?
SGR, JKNHP, siyo kihivi hivi tu, ni upeo wa kibinafsi
Magu mimi namsamehe kea kila kituhttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Na wewe jiulize ni kwanini hivi karibuni Samia aliamua kuvunja jengo la kanisa ambalo waumini wa gwajima waliamia kusali pale kibo.
Camera kali sana hii.
Nchi hii mashoga wengihttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Mambo ephen, uko poa?Angekuwepo mpaka leo hiyo barabara ingekua ishakamilika.
Yeah! Niko poaMambo ephen, uko poa?
Umepika nyumbani sijala chakula cha mchana nielekez nije chapYeah! Niko poa
Leo nimefunga, sijapikaUmepika nyumbani sijala chakula cha mchana nielekez nije chap
Wanaanza kumtafutia makosa Magufuli na Polepole ili kuwahamisha watu fikra🤣🤣🤣Sasa huoni barabara imetanuliw na bado inaongezwa au
Lengo ni kufanya njia nane mpaka chalinz kupunguza foleni
Kama babaako au siyo?Nchi hii mashoga wengi
Shida ilikua hivi mwenye hilojengo ali msemavibayasana maana tanesco hilojengo walikodi zingatia lilipovunjwa kuna mwana ccm alikua Chadema aka rudi ccm je umemjuaView attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
SiouzushiUzushi ulikuwepo kuwa ni la EL
Basi nakuja na nyama we ephen pika ugali nakujaLeo nimefunga, sijapika
Unahangaika na mfu unaacha mhujumu uchumi aliye hai kwa kuuza nchi??https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414