Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #81
Ukiona udhaifu, ufisadi ,wizi, uhujumu ni ujinga kusubiri wengine wakusemee.Unahangaika na mfu unaacha mhujumu uchumi aliye hai kwa kuuza nchi??
Si umtaje mkuu?https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
Shida ilikua hivi mwenye hilojengo ali msemavibayasana maana tanesco hilojengo walikodi zingatia lilipovunjwa kuna mwana ccm alikua Chadema aka rudi ccm je umemjua
Watu wanajitoa ufahamu.Kuna njia nane hapo ubungo tanesco?
Mihemuko ya kisiasa.hadinleo hakuna kilichofanyika pale hadi wa hina wenyewe watengeneza barabara walishangaa kule barabara haifiki..mi naona bora wapandishe floo nyingnie nyuma ya ile ilobaki ili shoi iwe kama lilivyokuwa mwanzohttps://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Wewe ulitaka iguse jengo🙂Wala barabara haifiki jengo lilipokuwa.
Tembea uione dunia.Wewe ulitaka iguse jengo🙂
Mkuu challenge your brain.Watetezi wa wana mtandao bwana... yaani tangu Polepole awalipue maboss wenu, mmekuwa mkija na maswali ya kipuuzi sana hili kuzima uchafu wa maboss wenu, halafu mnaishia kuonekana wajinga tu.
Sasa kama wewe mleta mada hii hili swali lako linakuonesha jinsi ulivyo mbumbumbu.
Basi unajiona eti huko smart kunijibu hivi na kunisoegezea na hiyo thread hapo ambayo inaonesha kumkosoa Kikwete...Mkuu challenge your brain.
Mijadala si blsck or white kama unavyofikiria.
Sisi wengine tuna shoot on all barrels!
Kama unafikiri kumkosoa Magufuli basi mtu ni mtandao, ni tusi kwa wenye vichwa vilivyoend shule.
Soma hiyoo….!
J.K. Kikwete - Overstaying your usefulness!
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne. Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu. Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini. Walio...www.jamiiforums.com
Ukiwa na akili ndogo endelea kuwa na akili ya pusi.Basi unajiona eti huko smart kunijibu hivi na kunisoegezea na hiyo thread hapo ambayo inaonesha kumkosoa Kikwete...
.. Nyau wewe mimi nina akili kuliko wewe na watetezi wenzako wa mafisadi, mara nyingi huwa mnajifanya mko objective/neutral kwenye mtiririko wa mada mnazoleta hapa hili isiwe rahisi mtu kushtukia kama wewe ni mteteze wa wana mtandao, huwa mnaanza na mada za kuwapondea kiaina hao mabwanyeye wa mtandao.... halafu baadae ndio mnakuja mada kama hii ulioleta hapa, ambapo lengo ni kutaka jamii ipuuze mambo anayoyaongelea Polepole.
Wewe una akili kama za viongozi wa chauma wanaowaada wabongo kwa kupondea ccm huku kila mtu anajua ni kiini macho tu.
wewe ulitaka aje kuyavunja matter call yako?https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jengo-la-tanesco-ubungo-lapigwa-x-2877414
View attachment 3459236
Jengo la serikali, jengo la TANESCO- Ubungo, lilivunjwa kwa mbwembwe zote na kibri chini ya utawala wa mheshimiwa John Pombe Magufuli.
Jengo hili halijazuia ujenzi wa barabara yoyote na hata ujenzi wa Interchange ya John Kijazi-Ubungo.
Je?
Ilikuwa ni matumizi mabaya ya madaraka ya Rais
Je?
Ilikuwa ni hujuma?
Je?
Magufuli ashitakiwe( hata kama alishafariki- Post humous) kwa kuhujumu mali ya umma?
Kiburi ya madaraka lazima yadhibitiwe.
Hapana, avunje ya baba yako!wewe ulitaka aje kuyavunja matter call yako?
sa100 atakuja kuyavunja matter call yako baada ya uchaguzi....Hapana, avunje ya baba yako!
Yes nandio maana baada ya ku rudi ikasitishwa Kama mwelewa Wa siasa utamjuaSi umtaje mkuu?
Kwa hiyo Magufuli alivunja jengo kumkomoa mtu?
Nani anaweza kuShare hapa ule mchoro wa kwanza wa Ubungo interchange, kwasababu hii iliyojengwa si sawa na kwenye ile ya kwanza.