Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Atapewa Doto Biteko. Take note or this
 
Bi mkubwa akisema amwondoe Kassim maaana yake analivunja baraza lote

Nitafurahi Kipara akihamishiwa Utamaduni, Sanaa na Michezo
 
Binafsi sijamuona toka alivyomaliza ishu kariakoo. Wameshamficha nn.
 
Brave analysis
 
Kassim wala yeye hahitaji tena kuendelea na uPM.

Miaka yake 10 inamtosha. Atastaafu kwa heshima.

Kassim ni mzalendo aliyetukuka. Mwenye uchungu na Wananchi na rasilimali za nchi.

Ni mwenye njaa pekee ataambatana naye 2025. Naye ni Makamba.
Mzalendo gani aliyeshindw kupambana na wasiojulikana na serikali yake ikaibe 1.5T?
 
Wow!.
 
Atakuwaje na raha wakati anajua bandari by 2025 itakuwa imeenda! By the way are you sure by 2025 mambo yatakuwa hayajaharibika sana?
 
Ni mtanganyika huyo,Watanganyika wanaona Zanzibar inapendelewa kwenye utawala huu bila kufuata sheria na makubaliano ya muungano

Bandari kila raia amekasirika
 
Ukiona hata sawa zake kina Foxy wanasema anapwaya ujue hatakiwi....alikuwa team Dugai.....tusubiri yajayoila bibi akae sawa kupenda 2025 chsmani afanye kazi ziada....bandari it's a bait
 
PM ni muislam ila anaungwa mkono na wakiristu wengi hujiulizi kwanini?
 
Platinum member wewe....ndugu faizafoxy...

Nakufuatilia Kwa ukaribu unaupiga mwingi.....
 
Usijali nayarebisha yote. Nafahamu kufanya editing.

Shule nilizosoma hazikusomesha ujimga, bahati nzuri kuandika Kiswahili nimejifunzia hapa JF. Shule zetu za zamani Kiswahili lilikuwa somo moja tu.
Rekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…