Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Bibi kizee na ulozi wake kumtabiria waziri mkuu wetu majanga yampate
 
Mnamtengenezea zengwe kwa vile amejitenga na uovu wenu wa kuingia mikataba ya ovyo. Na hilo zengwe lililopo jikoni hachomoki,wabaya sana nyie.
 
Tunamuombea amalize salama, lakini nahisi anapwaya sana.
hapwayi.. Katika lipi? Sasa hivi issue zimewekwa kwa mawaziri.. Na wao wanaweza mpigia simu mama moja kwa moja .. Lazima waziri mkuu atakuwa hana cha kufanya.. Na inasononesha... Hata akija nani atakumbwa na hali hiyo... Mwinyi alitumia sytle hiyo kutawala, Kikwete na sasa Mama.... Katelephone ni mhanga tu ..
 
Hawaelewani na mama. Mama anamhisi vibaya kuhusu 2025, amemgombanisha na mawaziri wote wanamdharau. Anamfanyia manyanyaso sana.
Kwani wapi imeandikwa maza lazima agombee?
 
Na hasa aliponyang'anywa TAMISEMI, katika huu mfumo ambao rais anaweza kutokea zanzibar waziri mkuu alitakiwa kuwa na full mandate kuunda na kuendesha serikali. Maana hicho kinachoitwa serikali ya muungano essentially ni serikali ya Tanganyika. Kwa maana nyingine mzanzibari anaongoza serikali ya Tanganyika jambo ambalo linatia ukakasi.​
 
J
Jpm hajawahi kuwa rais imara sema alikuwa muuaji imara hapo nakuelewa. Yule alikuwa ruler na siyo leader.
 
Point .... Unakakasi sana kipindi hiki... Umeiona vizuri kabisa
 
Kuwa na hisia ni haki yako mleta mada, ila hilo linaweza lisitokee pia. Ni maoni yangu tu!
 
Huenda moyoni anaumia jinsi mama anavyoendesha nchi.😂🤣
 
wanawaoa kiserikali lakini kidini hawatambuliki
Kwa sababu dini ni swala la mwanaume, mwanamke yeye atabadilisha dini kufuata ya mumewe na wataenda kufunga ndoa kanisani......inakuwa imeisha hiyo.
 
Hajawahi kutosha,
Hatoshi,
Na hatatosha.
Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…