Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Kwa sababu dini ni swala la mwanaume, mwanamke yeye atabadilisha dini kufuata ya mumewe na wataenda kufunga ndoa kanisani......inakuwa imeisha hiyo.
hakuna ulazima inategemea makubaliano tu. Wapo waislamu wengi ambao hawakubadili dini na wameolewa na wakristo. Lakini kidini ni kuwa ndoa za aina hizo hazitambuliki
 
Hata akiondolewa haitasaidia kitu sana sana ni kuongeza gharama kwa wananchi kuanza kumtuza Waziri Mkuu mstaafu, mfumo mbovu cheo cha PM hakina maana yoyote maana naye anasubiri tu maelekezo toka kwa Rais
 
NakuelewA sana FaizaFoxy kwenye huu uzi nimuona leo utabiri wako sema kumng'oa haiwezekani italeta doa kwa serkali
 
Lengo ni kuweka Waziri Mkuu Msukuma ili kuchota huruma ya Wasukuma.
 
Huu uchawi unaelekea huko kutimia muda si mrefu... majaliwa ajitafakari mwenyewe, aepuke aibu...!!
 
Hata sasa amembeba sanaa....muda utaongeaaa ...tutajua mengi na yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…