Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Uko sawa...kina jambo mahali haliko sawa
 
Kessy atamaliza vzr muda wake, pasi na shaka!!
 
Ndo mmeanza hivyo eeh?
 
WEAK haitoshi pengini ni WEAKEST PRO
 
Halafu nani ataenda kutatua migogoro ya jamii.

Umfuatilii kila mgogoro ambao mawaziri wakishindwa yeye ndio anatumwa kusawazisha.

Ule wa Kariakoo ulikuwa mjini tu, kuna mingine mingi maji yakifika shingoni serikalini anarushwa yeye sema aina airtime vile za media. Ila huko kwenye mgogoro ni tatizo.

Tatizo wa chawa wa mama mnadhani kuendesha nchi ni kazi rahisi sana. Solution yenu ya kila tatizo huwa ni maskini waliongopewa na Magufuli hao awajui kitu. Wananchi washaanza kuisusa mikutano ya CCM.
 
Makosa kibao ya uandishi, huko shule ulienda kusomea ujinga?
"jumfatilia"
"...akiwa bi kama mtu...."

Unakimbilia wapi bibi, tulia, andika vizuri.
 
Makosa kibao ya uandishi, huko shule ulienda kusomea ujinga?
"jumfatilia"
"...akiwa bi kama mtu...."

Unakimbilia wapi bibi, tulia, andika vizuri.
Usijali nayarekebisha yote. Nafahamu kufanya editing.

Shule nilizosoma hazikusomesha ujinga, bahati nzuri kuandika Kiswahili nimejifunzia hapa JF. Shule zetu za zamani Kiswahili lilikuwa somo moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…