Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

Vipi Chief Hagaya naye atafika 2025?
 
Kwa hivyo Dada, kassim na mwigulu huenda wakawekwa kando?
 
Kassim wala yeye hahitaji tena kuendelea na uPM.

Miaka yake 10 inamtosha. Atastaafu kwa heshima.

Kassim ni mzalendo aliyetukuka. Mwenye uchungu na Wananchi na rasilimali za nchi.

Ni mwenye njaa pekee ataambatana naye 2025. Naye ni Makamba.
Nchi haiendeshwi kwa hisia, huendeshwa kwa vitendo.

Kama "hahitaji" si ang'atuke tu, kwanini ajilazimishe?
 
anakosa ile kujiamini kwa Hali jinsi inavyokwenda , lkn Bora angesema hata Kama hawatachukua ushauri wake.
 
 
Bila shaka ni mda wa George Simbachawene kuwa Pm au siyo?
 
Atang'olewa, anaziba njia...
 
Huyo jamaa angemuacha tu,maana kamfichia aibu nyingi Mama.Mama hana watu wa maana wa kupiga kazi,wengi waliomzunguka ni Chawa Promax yaani sawa na kosa alilofanya kumuondoa Lukuvi Wizara ya Ardhi.
Waziri Mkuu anafanya kazi kulingana na maelekezo ya Rais,sasa ukisema Majaliwa yupo tofauti na alivyokuwa wakati wa JPM unakosea,falsafa ya JPM na ya Mama ni tofauti!
Mama mtu wa Democracy sana wakati Magufuli alikuwa ni Hybrid Democracy(Democracy-Autocracy).
 
Sema tu mwendazake alikuwa dictator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…