Sijui kwanini nimeumia hivi

Sijui kwanini nimeumia hivi

Tena bora mtu baki kama mi na wewe ila sio ndugu, kama we wanakufaa basi mie hawanifai njoo nikugawie
Labda kwenye ukoo wenu kuna mambo hayapo sawa, maana koo nyingine hawaelewani. Ila UPENDO ni kitu muhimu sanaaa. Ndiyo amri kuu kuliko amri zote.
 
Nampenda jirani yangu inatosha haya mahubiri yako kaa nayo maana hujui nimetendwa nini na hao ndg

Undugu si kufanana ni kufaana
 
Tmiza

Timiza agizo la muumba wako, AMRI KUU NAWAPA NI UPENDO. sina ngonjera
 
Saidia hizo ndiyo sadaka zenyewe jamani eeh, usipo msaidia mwanadamu mwenzio uta msaidia nani sasa
Naomba nichangie...ndugu wengi sana wametia watu vichefchef na kuwarudisha nyuma sana watu. Kuna ndugu ni miiba sana mkuu usipime. Kama hujawah kupatwa na kitu kizito we nenda kashukuru kwa sadaka. Kuna watu wametengwa na ukoo kisa tu alikataa kuwa victim wa undugu wa kishenzi. Na mpaka mtu anaandika haya, yako mambo kakutana nayo, yanayochosha kueleza na kusikiliza hvyo anaishia kusummarize kama hivyo..undugu ni gharama sana hii dunia...kama huamin muulize Abraham!!!
 
Tmiza

Timiza agizo la muumba wako, AMRI KUU NAWAPA NI UPENDO. sina ngonjera
Ni kweli lakini pia biblia imetutaka tuwe na kiasi. Unamsaidia mtu, umemnunulia bodaboda ajikwamue kiuchumi, bahati mbaya baada ya miezi 5 akapata ajali akafariki. Ukoo mzima unakaa kikao kwamba wewe umemtoa kafara, unasikia hayo maneno utajisikiaje?? Mbaya zaidi ulifanya kwa upendo...je akija ndugu mwingine utamnunulia tena bodaboda? Sio kwamba tutaacha kutoa fedha hapana tutatoa lakin tunakuwa na ukomo. Kujimaliza tena kwa ajili ya undugu wa fedheha na toxicity its a big NO!!!!
 
Naomba nichangie...ndugu wengi sana wametia watu vichefchef na kuwarudisha nyuma sana watu. Kuna ndugu ni miiba sana mkuu usipime. Kama hujawah kupatwa na kitu kizito we nenda kashukuru kwa sadaka. Kuna watu wametengwa na ukoo kisa tu alikataa kuwa victim wa undugu wa kishenzi. Na mpaka mtu anaandika haya, yako mambo kakutana nayo, yanayochosha kueleza na kusikiliza hvyo anaishia kusummarize kama hivyo..undugu ni gharama sana hii dunia...kama huamin muulize Abraham!!!
Shida tuna saidia kwa kutegemea malipo, shida ina anzia hapo tuu Mwisho wa siku kusamehe kuko pale pale, TUISHI kwa kusameheana na kusaidiana haijalishi nini kimetokea baina yetu mkuu.
 
Kwakweli.. Nifanye nini sasa eti🤔.. Maana sijiskii tu vizuri
Huwa mnakuja kuwashutumu wanaume wanazalisha na kuwaacha wanawake (single moms)
Ukimuona mtu kazalishwa na hajaolewa. Usimlalamikie aliyemzalisha na kumuacha maana unaweza kuwa na mipango na mwanamke kumuoa ila kutokana na ujinga wake. Unamuacha tu
 
Ni kweli 💯, sasa hutakiwi umia moyo maana ukweli una ujua weww hujafanya hivyo eti kutoa kafara. Hiyo ni uwezo mdogo wa akili yao kushindwa kufikiri.
Pole sana ila piga moyo konde ila usichoke saidia kama uko na uwezo.
Ni kweli lakini pia biblia imetutaka tuwe na kiasi. Unamsaidia mtu, umemnunulia bodaboda ajikwamue kiuchumi, bahati mbaya baada ya miezi 5 akapata ajali akafariki. Ukoo mzima unakaa kikao kwamba wewe umemtoa kafara, unasikia hayo maneno utajisikiaje?? Mbaya zaidi ulifanya kwa upendo...je akija ndugu mwingine utamnunulia tena bodaboda? Sio kwamba tutaacha kutoa fedha hapana tutatoa lakin tunakuwa na ukomo. Kujimaliza tena kwa ajili ya undugu wa fedheha na toxicity its a big NO!!!!
 
Duh una roho nzuri mi angerudi hiyo mara ya pili kama angefika mbali basi ni mlangoni siongeagi sana ila jicho tu na sentensi fupi angegeuza alikotoka,,

Mbingu siiooni walahi tena
Wanakera mkuu ila ndo washikaji mimi huwa ninq huruma sana hasa pale mtu anapokua na uhitaji na shida yake iko ndani ya uwezo wangu.
 
Back
Top Bottom