Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
WAtu wa kwanza wa kua nao makini ni nduguUmefika mbali sana mpaka ndugu ?! Mmmhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WAtu wa kwanza wa kua nao makini ni nduguUmefika mbali sana mpaka ndugu ?! Mmmhh
Tena bora mtu baki kama mi na wewe ila sio ndugu, kama we wanakufaa basi mie hawanifai njoo nikugawieUmefika mbali sana mpaka ndugu ?! Mmmhh
Saidia hizo ndiyo sadaka zenyewe jamani eeh, usipo msaidia mwanadamu mwenzio uta msaidia nani sasaWAtu wa kwanza wa kua nao makini ni ndugu
Labda kwenye ukoo wenu kuna mambo hayapo sawa, maana koo nyingine hawaelewani. Ila UPENDO ni kitu muhimu sanaaa. Ndiyo amri kuu kuliko amri zote.Tena bora mtu baki kama mi na wewe ila sio ndugu, kama we wanakufaa basi mie hawanifai njoo nikugawie
Nampenda jirani yangu inatosha haya mahubiri yako kaa nayo maana hujui nimetendwa nini na hao ndgLabda kwenye ukoo wenu kuna mambo hayapo sawa, maana koo nyingine hawaelewani. Ila UPENDO ni kitu muhimu sanaaa. Ndiyo amri kuu kuliko amri zote.
Napenda sana watu wa hivi 😂😂😂 yaani mtu anakuwa amejikatia ticket mazima.Furahia kwa sababu ameishajifungia Milango ya kukusumbua tena
Timiza agizo la muumba wako, AMRI KUU NAWAPA NI UPENDO. sina ngonjeraNampenda jirani yangu inatosha haya mahubiri yako kaa nayo maana hujui nimetendwa nini na hao ndg
Undugu si kufanana ni kufaana
Hata usiteseke na mimi fanya yakoTmiza
Timiza agizo la muumba wako, AMRI KUU NAWAPA NI UPENDO. sina ngonjera
Naomba nichangie...ndugu wengi sana wametia watu vichefchef na kuwarudisha nyuma sana watu. Kuna ndugu ni miiba sana mkuu usipime. Kama hujawah kupatwa na kitu kizito we nenda kashukuru kwa sadaka. Kuna watu wametengwa na ukoo kisa tu alikataa kuwa victim wa undugu wa kishenzi. Na mpaka mtu anaandika haya, yako mambo kakutana nayo, yanayochosha kueleza na kusikiliza hvyo anaishia kusummarize kama hivyo..undugu ni gharama sana hii dunia...kama huamin muulize Abraham!!!Saidia hizo ndiyo sadaka zenyewe jamani eeh, usipo msaidia mwanadamu mwenzio uta msaidia nani sasa
Ni kweli lakini pia biblia imetutaka tuwe na kiasi. Unamsaidia mtu, umemnunulia bodaboda ajikwamue kiuchumi, bahati mbaya baada ya miezi 5 akapata ajali akafariki. Ukoo mzima unakaa kikao kwamba wewe umemtoa kafara, unasikia hayo maneno utajisikiaje?? Mbaya zaidi ulifanya kwa upendo...je akija ndugu mwingine utamnunulia tena bodaboda? Sio kwamba tutaacha kutoa fedha hapana tutatoa lakin tunakuwa na ukomo. Kujimaliza tena kwa ajili ya undugu wa fedheha na toxicity its a big NO!!!!Tmiza
Timiza agizo la muumba wako, AMRI KUU NAWAPA NI UPENDO. sina ngonjera
Shida tuna saidia kwa kutegemea malipo, shida ina anzia hapo tuu Mwisho wa siku kusamehe kuko pale pale, TUISHI kwa kusameheana na kusaidiana haijalishi nini kimetokea baina yetu mkuu.Naomba nichangie...ndugu wengi sana wametia watu vichefchef na kuwarudisha nyuma sana watu. Kuna ndugu ni miiba sana mkuu usipime. Kama hujawah kupatwa na kitu kizito we nenda kashukuru kwa sadaka. Kuna watu wametengwa na ukoo kisa tu alikataa kuwa victim wa undugu wa kishenzi. Na mpaka mtu anaandika haya, yako mambo kakutana nayo, yanayochosha kueleza na kusikiliza hvyo anaishia kusummarize kama hivyo..undugu ni gharama sana hii dunia...kama huamin muulize Abraham!!!
Huwa mnakuja kuwashutumu wanaume wanazalisha na kuwaacha wanawake (single moms)Kwakweli.. Nifanye nini sasa eti🤔.. Maana sijiskii tu vizuri
Ni kweli lakini pia biblia imetutaka tuwe na kiasi. Unamsaidia mtu, umemnunulia bodaboda ajikwamue kiuchumi, bahati mbaya baada ya miezi 5 akapata ajali akafariki. Ukoo mzima unakaa kikao kwamba wewe umemtoa kafara, unasikia hayo maneno utajisikiaje?? Mbaya zaidi ulifanya kwa upendo...je akija ndugu mwingine utamnunulia tena bodaboda? Sio kwamba tutaacha kutoa fedha hapana tutatoa lakin tunakuwa na ukomo. Kujimaliza tena kwa ajili ya undugu wa fedheha na toxicity its a big NO!!!!
Aseeeh polee sana dear, utakua sawa tyuuh.Yaani🥹🥹[emoji2]
Haswaaaah!!Kwakweli nimeamini
Wanakera mkuu ila ndo washikaji mimi huwa ninq huruma sana hasa pale mtu anapokua na uhitaji na shida yake iko ndani ya uwezo wangu.Duh una roho nzuri mi angerudi hiyo mara ya pili kama angefika mbali basi ni mlangoni siongeagi sana ila jicho tu na sentensi fupi angegeuza alikotoka,,
Mbingu siiooni walahi tena
Ni kweli ila neno Asante lina maana kubwa sana ktk maishaShida tuna saidia kwa kutegemea malipo, shida ina anzia hapo tuu Mwisho wa siku kusamehe kuko pale pale, TUISHI kwa kusameheana na kusaidiana haijalishi nini kimetokea baina yetu mkuu.
Kweli Mkuu.Ni kweli ila neno Asante lina maana kubwa sana ktk maisha