Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndo ivo saidia kile kilicho ndani ya uwezo wako.kwakweli nimeliona hilo, nimejifunza kitu kikubwa sana
Na kuhonga ni hivo hivo, usihonge kupitiliza, upendo, heshima na utu havinunuliwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ivo saidia kile kilicho ndani ya uwezo wako.kwakweli nimeliona hilo, nimejifunza kitu kikubwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani alipotezaje nauli na muda wake?Imagine Best kutoka Bomba mbili mpaka Peramiho palivyo mbali [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa ushauri mzuri mkuu, barikiwa sana🙏🙏Pole sana mkuu. Cha kujifunza hapo ni kwamba tambua always binadamu huwa na second option kwenye jambo lolote lile. So hata wewe ulikuwa kwenye option tu moja wapo na uliona kwamba usingemsaidia asingesaidiwa na mwingine but kumbe haikuwa hivyo. The thing is ameu disvalue mchango wako huwezi jua kwanini lakini bora umefanya hivyo coz usingemsaidia ungepata msononeko wa nafsi yako kutokana na empathy. Ondoka na funzo kwamba sasa umemjua vizuri tabia yake hata ikitokea next time una reference ya kuelezea. Amekuumiza lakini imekuwa faida ya kumjua vizuri and that's how most human beings are.
Kwakweli, sema wengine kua na roho mbaya hatuwezi na tuna mioyo midogo.. kuumia ni kitendo cha dakika sifuri.. But thanks Lord comments zenu zimenipa reliefAlafu unatoka Songea Mjini mpaka Peramiho mission mbali kinoma, Anyway take it easy but punguza kujali sana
Kama una roho nzuri huwezi kubadirisha hiyo ni zawadi kutoka kwa Mungu, hata kama utajifanya una roho mbaya baadae utajihisi hatia tu. Unachoweza kufanya ni kupunguza kujali sanaKwakweli, sema wengine kua na roho mbaya hatuwezi na tuna mioyo midogo.. kuumia ni kitendo cha dakika sifuri.. But thanks Lord comments zenu zimenipa relief
I wish ningekua na roho kama yako mkuu.. But ipo siku naamini nitaweza, Barikiwa sana🙏Mimi kanuni zangu za kusaidia ni Tatu tu:
1. Nasaidia kilicho ndani ya uwezo wangu, kama uwezo huo Sina hata uwe na shida ya namna gani na kumwaga machozi, my friend siwezi kukusaidia hata kidogo kwanini nasaidia kilicho ndani ya uwezo wangu? Ni kwasababu najua kabisa unaweza kuchukua au kukopa pesa mahali kwasababu ya shida ya mtu Fulani ambapo baadae najua lazima itakucost aidha Kwa kujuta, roho kuuma, madeni nk....hivyo ushauri wangu ni kuwa ukitaka kumsaidia mtu hakikisha kama ni pesa basi unayo na ni ya kwako si ya baba, rafiki Wala ndugu yeyote yule. Hii itakusaidia kujihisi na amani na mawazo kama " kwanza nimesaidia Kwa pesa yangu hivyo sijuti nitapata nyingine" nk fikra kama hizo ni positive hivyo ni vizuri Kwa afya yako ya akili.
2. Sisaidii kuzidi uwezo wangu. Kila binadamu ana kikomo chake cha kuweza kusaidia, tajiri wa billion moja hawezi kusaidia shida za bilioni kumi, hivyo hivyo Kwa binadamu wengine kwa level mbalmbal za kifedha walizonazo, hivyo kama kanuni yangu ya kwanza imekidhi yaani Nina pesa yangu mwenyewe lakini ninahitajika kutoa kikubwa zaidi ya nilichonacho basi huwa natoa ninachokimudu hicho hicho, watu huvuka vikomo vyao Kwa kutaka sifa, pongezi, kutumia hisia zaidi kuliko akili au kutokuona Hali halisi ilivyo.
3. Ninaposaidia sitegemei chochote kutoka mtu aidha ahsante, nashukuru nk Wala sizitaki kiasi ambacho ninapofanikiwa kusaidia mtu huwa natoweka haraka, binafsi mara nyingi naona aibu sana kupewa ahsante na ndio maana sometimes naona Bora kutumia watu wengine kusaidia Fulani Ili tu nibaki anonymous, hii hunisaidia kutokukaa na chuki, hasira, vinyongo na wivu nk. Kwasababu ukitegemea kupewa ahsante au return yoyote, mwisho usipopewa hiyo ahsante utaanza kujihisi vibaya mfano hasira, chuki, roho sijui kuuma, kujiapiza nk ambayo kimsingi ni negative situation unaivuta hivyo si nzuri kabisa.
USHAURI: Mimi sipendi kusaidiwa Wala kuonewa huruma, hivyo nakusihi na wewe usipende sana kusaidiwasaidiwa Wala kuonewa huruma maana sometimes kusaidiwa kibongobingo huwa ni deni hivyo pambana mwenyewe uhakikishe una msuli wa kuweza kusimama bila kulalamika.
Pole sana mkuu.Habari za asubuhi wana JF,
Iko hivi, nina rafiki yangu ana mtoto (naweza nikasema ni single mom) ila isieleweke vibaya, nilisomaga nae O level huko ila nikama bahati tu tumejikuta tunaishi tena mtaa mmoja.
Ijumaa jioni wakati natoka tu ofisini alinipigia Simu akaniambia anashida kama naweza nipitie nyumbani kwao nikamuone, kwakua nilikua sina ratiba nyingine nikasema isiwe tabu kabla sijafika nyumbani nikapitia.
Nilimkuta yuko good ila mwanaye alikua anaumwa sana ile mtoto kazidiwa na akaniambia ameshindwa kwenda hospitali hana hela na almost kila aliyempigia simu wamemuahidi tu tangu asubuhi na hakuna aliyemtumia mpaka muda huo sa 1 jioni inaelekea saa 2.
Kiukweli sikua na hela and i was totally broke, yaani wiki ile iliyoisha mwenyewe nimeishi tu kwasababu nina wazazi maana nilikua nina mambo mengi yananihitaji hela kiasi kwamba sikua nimebakiwa na hata Mia mbovu. Lakini nikasema kwenye suala la kuokoa maisha ya mtoto isiwe kesi nikamwambia ngoja nirudi kwanza nyumbani, nikamsimulia mama tukaongea na dada yangu wakasema tu hapa kwa harakaharaka hatuna namna tumdanganye tu mzee kitu chochote jioni hii atupe hela, kweli tukamshawishi mzee bila hiyana akanipa 150k nikamfata kwao tukaenda hospitali usiku uleule.
Mtoto akapewa huduma ya kwanza na baadhi ya vipimo wakamlaza ili asubuhi aendelee na matibabu mengine (muda wote huo anawapigia ndugu zake wakiwemo na baba wa mtoto hata simu hawampokelei wengine), asubuhi yake niliomba ruhusa kazini nikawaambia nitachelewa ili nione mtoto atakua anaendeleaje.
Case ya mtoto ikawa kubwa wakasema tuende nae hospitali nyingine kubwa (Peramiho nadhani watu wa songea wanaijua), kuna vipimo alivyoambiwa wampime vilikua vinahitaji hela almost kama laki 2 tena nikamwambia mama akanitumia tukafanikisha. Kwasababu kazini walikua wanapigapiga sana simu na nikaona wanaendelea vizuri na mama yake alikua ashafika nikamwambia naenda ofisini incase kimetokea chochote utatuambia nikampa na namba ya mama kama mimi nisipopokea ampigie, nikaondoka. The bad thing is nilikua busy busy sana hadi siku ikaisha sikuwatafuta tena.
Kinachoniumiza ni kwamba, jana mchana nilimpigia simu hakupokea nikaenda kwao sikukuta mtu, nikaenda hadi Peramiho tena kulivyo mbali nikaambiwa wameruhusiwa na hakunipa taarifa. Jioni nimeingia WhatsApp naona ameweka status nyingi nyingi kufungua nikawa naona amescreenshot miamala yote ya watu waliokua wanamtumia hela na kuwapa credits Mungu awabariki sana kwa kuokoa maisha ya mwanae maana alikua kwenye hali mbaya sana na nini nini. Screenshot kama kumi na kitu hivi na amewataja na majina kabisa...
Cha ajabu hiyo miamala hakuna hata wa mtu mmoja uliofikia hata 30k, wote ni hizo hizo tu efu10 ef5 ef7, kawaandikia macaption mazito mazito. Nimebaki najiuliza mbona alikua ananiambia hawapokei simu, na hela inaonekana walimtumia siku ileile ambayo aliniambia na mimi niende kwake kumuona( Nilikua nasoma tarehe na muda wa zile transactions ).
Mimi ambaye nilikua nae kuanzia siku ile hadi usiku nikaacha na kwenda kazini na tumeclear bills zote hata asante hajaniambia na wala taarifa kama wameruhusiwa hajanipa. Nimesubiri jana yote hadi leo saizi hajanipigia hata simu, Kina mama wananiuliza wanaendeaje nawaambia tu wanaendelea vizuri huku roho inauma.
Nimetenda wema nimeenda zangu wakuu, lakini bado roho inaniuma aisee, sijui nifanye nini nikae sawa😥😥
Nakazia,Mimi kanuni zangu za kusaidia ni Tatu tu:
1. Nasaidia kilicho ndani ya uwezo wangu na kusaidia Kwa pesa yangu. kama uwezo huo Sina hata uwe na shida ya namna gani na kumwaga machozi, my friend siwezi kukusaidia hata kidogo kwanini nasaidia kilicho ndani ya uwezo wangu? Ni kwasababu najua kabisa unaweza kuchukua au kukopa pesa mahali kwasababu ya shida ya mtu Fulani ambapo baadae najua lazima itakucost aidha Kwa kujuta, roho kuuma, madeni nk....hivyo ushauri wangu ni kuwa ukitaka kumsaidia mtu hakikisha kama ni pesa basi unayo na ni ya kwako si ya baba, rafiki Wala ndugu yeyote yule. Hii itakusaidia kujihisi na amani na mawazo kama " kwanza nimesaidia Kwa pesa yangu hivyo sijuti nitapata nyingine" nk fikra kama hizo ni positive hivyo ni vizuri Kwa afya yako ya akili.
2. Sisaidii kuzidi uwezo wangu. Kila binadamu ana kikomo chake cha kuweza kusaidia, tajiri wa billion moja hawezi kusaidia shida za bilioni kumi, hivyo hivyo Kwa binadamu wengine kwa level mbalmbal za kifedha walizonazo, hivyo kama kanuni yangu ya kwanza imekidhi yaani Nina pesa yangu mwenyewe lakini ninahitajika kutoa kikubwa zaidi ya nilichonacho basi huwa natoa ninachokimudu hicho hicho, watu huvuka vikomo vyao Kwa kutaka sifa, pongezi, kutumia hisia zaidi kuliko akili au kutokuona Hali halisi ilivyo.
3. Ninaposaidia sitegemei chochote kutoka mtu aidha ahsante, nashukuru nk Wala sizitaki kiasi ambacho ninapofanikiwa kusaidia mtu huwa natoweka haraka, binafsi mara nyingi naona aibu sana kupewa ahsante na ndio maana sometimes naona Bora kutumia watu wengine kusaidia Fulani Ili tu nibaki anonymous, hii hunisaidia kutokukaa na chuki, hasira, vinyongo na wivu nk. Kwasababu ukitegemea kupewa ahsante au return yoyote, mwisho usipopewa hiyo ahsante utaanza kujihisi vibaya mfano hasira, chuki, roho sijui kuuma, kujiapiza nk ambayo kimsingi ni negative situation unaivuta hivyo si nzuri kabisa.
USHAURI: Mimi sipendi kusaidiwa Wala kuonewa huruma, hivyo nakusihi na wewe usipende sana kusaidiwasaidiwa Wala kuonewa huruma maana sometimes kusaidiwa kibongobongo huwa ni deni hivyo pambana mwenyewe uhakikishe una msuli wa kuweza kusimama bila kulalamika.
Ganga yajayo tu mkuu, dunia imekua ya ajabu sana.Duuh🤔🤔
Pole na huyo Mtu anayechezea hisia zako. We all have Pain, Sorrow,Sad sometimes Mtu anajibu kejeli ni maumivu mengine hayo. But relax tu rafikiDuuh🤔🤔
Jaribu kuwa fair Mkuu haujui Mtu kaumiaje Kihisia halafu Wewe ulichokiandika hapo juu sio poa halafu huyu Member hanaga mambo ya ajabu ajabu yuko humble kwa watu wote humuGanga yajayo tu mkuu, dunia imekua ya ajabu sana.
Jaribu kuwa fair Mkuu haujui Mtu kaumiaje Kihisia halafu Wewe ulichokiandika hapo juu sio poa halafu huyu Member hanaga mambo ya ajabu ajabu yuko humble kwa watu wote humu
Umefika mbali sana mpaka ndugu ?! MmmhhPole ndo ukubwa huo mi siku hizi nimekuwa na roho mbaya baada ya kupigwa vitu vizito huko nyuma yani shida za mtu wa karibu sijui ndg au nani nani hazinigusi kabisaaa ndo ije kuwa classmate,