Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Haupo serious kbs Kuna wenzako hawapati hata hao wa kawaida wanaishia kupga puchu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alipiga puchu kwa muda mrefu mpaka macho yake yakawa yanaona ublue! Siku anapata papuchi, kutelezesha tu, gari ikazimikia huko huko ndani! Akaandaa 400,000 ya kutibu tatizo!
 
You + **** = Kupendwa tena kupendwa kweli

Hapo kwenye nyota maelezo yake ni haya [emoji116]

Nakuhakikishia, Ukianza kwa kujipenda na kujijali we mwenyewe zaidi basi hao unaowahitaji utawapata tena kwa urahisi zaidi. Na tena watakutengenezea mazingira mazuri ya kuwapata mwisho wa siku utarudi kutoa ushuhuda tena humu JF kwa jukwaa la kula tunda kimasihara.
Mkuu bado hujamsaidia.

Mwambie au tuambie ufanye vipi ili ujipende ?

Ujiangalie kila muda ndio umejipenda ?

Kuvaa vizuri nguo na kupiga pasi ndo kujipenda ?

Au kupiga punyeto sana ndio kujipenda ?

Tunaomba ufafanuzi mkuu
 
Kidogo, ila nina mashaka na degree yako ya uhasibu. Hujui hata kuandika ulichoandika, unawezaje ku deal na issues zinazo involve tarakimu za pesa? Huchanganyi mambo kweli?
"Tumshukuru mama anazalisha wasomi wa aina yake! Halafu unakuta anafanya kazi benki kuu ya Tanzania, tena mhasibu ghorofa ya tano, chumba kina kiyoyozi, unakuta anabembea kitini na midevu yake iliyochongwa", ilisikika sauti kutoka Radio Tanzania
 
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu alipiga puchu kwa muda mrefu mpaka macho yake yakawa yanaona ublue! Siku anapata papuchi, kutelezesha tu, gari ikazimikia huko huko ndani! Akaandaa 400,000 ya kutibu tatizo!
Wahuni sio watu[emoji3][emoji3]
 
Mkuu bado hujamsaidia.

Mwambie au tuambie ufanye vipi ili ujipende ?

Ujiangalie kila muda ndio umejipenda ?

Kuvaa vizuri nguo na kupiga pasi ndo kujipenda ?

Au kupiga punyeto sana ndio kujipenda ?

Tunaomba ufafanuzi mkuu
Awe msafi au uwe msafi wa mwili na roho/nafsi.

Usafi wa Mwili - Jipende, kuwa msafi, kuwa msafi... Kuna vingi sana vya kuzingatia hapa vingine nashindwa hata kuviandika vitakuwa havi-make sense na ukizingatia humu ndani wote watu wazima. Kwa kuwa suala lake ni kupata watoto wa kike basi naamini anapoishi wapo na anapofanyia shughuli zake zingine pia wapo, ana marafiki wa kiume wenzake wenye marafiki wa kike pia nalijua hilo [emoji375].

Usafi wa Nafsi/Roho - Ni matendo yako, namna unavyoishi. Jisafishe nafsi yako na ujipende mwenyewe, hakikisha unaishi vizuri na watu wako wanaokuzunguka.
Mengine mtaongezea.

Kwa kufanya yote haya... Na kama ulivyosema, wewe shida yako ni kupata mtoto wa kike na wala sio kupata uraisi wala ubunge basi unaweza kuja kupata watoto wa kike wengi tu na kwa sasa dunia ilivyo hapo utapata ma best friends wa kike wengi sana [emoji1] ambapo kazi itabaki kwako tu hapo [emoji460].

NB: Hii njia ni kama investment. Ni lazima ichukue muda wako wakati wa kufanikisha jambo lako [emoji383] ila pia after kuwa umefanikisha kupata hao mabest friend wako wa kike, kumbuka hapo unakuwa umejenga heshima kubwa kwa watu watakuwa wanakuheshimu so unapoamua kuchukua rafiki yako mmoja wa kike kwa kuwa tu mmekuwa marafiki na ukataka kurusha nyavu basi juwa kuna mawili hapo, either uWin ama uharibu Heshima yako uliyoijenga kwa muda mrefu [emoji1607]

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom