Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,087
Reaction score
3,156
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
 
Kila sector inahitaji kutumia technology

Hivyo vishikwambi vinatakiwa kununuliwa kwenye Kila sector

Kwani budget si zipo pesa wanapeleka wapi vishikwambi china mpaka dollar 30 unashindwaje kununua tamisemi yenye budget ya trion Kama 18 Kila mwaka!!?
 
Tatizo haujui ugumu wa changamoto ya Kazi ya ualimu .
Nilikuwa mwalimu bahati nzuri,je kipi kilichobadirika zaidi kuingiza matokeo na kujaza ripoti kupitia mfumo kwa msaada wa kishikwambi?, unajua kwamba kila shule inapaswa kuwa na registrar kama ndio hivyo mkuu?,bado hujanishawishi nipate hoja zaidi yamkini
 
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
Wangetaka kutumia vishikwambi wasingeshindwa kununua vingine, acha hizo mkuu
 
Yale mavishkwambi ya walimu kuwa mjadala wa taifa ni kuonyesha jinsi gani tulivyo na akili za kimaskini 🤔
Sawa tunaakili Za kimasikini sababu taifa letu ni masikini(Zingatia hili),lakini mjadala wetu ni zaidi ya vishikwambi kama umepata elewa kwa kina,hizi si zama za papers and pens kwa masuala yanayohitaji uharaka,na ulinzi wa data,
 
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
Unaona walimu hawavihitaji ?
 
Screenshot_20241019_171852.jpg
Screenshot_20241019_171733.jpg
Ndio wanavyovitumia vishkwabi.

Screenshot_20241019_171841.jpg
 
Back
Top Bottom