Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
Serikali ingetumia data base ya sensa kwa mtu kuja na ID anapiga kura. Sijaona maana ya kujiandikisha mara kitambulisho cha utaifa, cha kupiga kura, liseni, passport na vyote vya serikali ambavyo havina suluhisho kwa jambo lingine la serikali. Simply ni kuwasumbua raia na kuliingiza taifa hasara za mara kwa mara. Ushauri kwa Serikali ni kuwa na kitambulisho kimoja kitumike kwa mambo yote kutokana na database.
 
Hakuna watu wanaofikiri kwa upevu,hata hivyo kuna masilahi kwa watu
 
Na reply Kwa kutumia kishkwambi, unapingana na uamuzi wa muheshimiwa Raisi mama yetu Daktari SAMIA SULUHU HASSAN. Walimu wenzangu oyeeee, vishikwambi oyeeee
 
ili wapate kura 2025,hao hao walimu ndo waandikishaji
 
Kila mwaka yanapotea mabilioni na hakujawahi mtu yeyote kuwajibishwa itakuwa hivyo vishikwambi!
Huyu jamaa ana wivu soma comments zake utajua
Hajui watu wamepewa piki piki nchi nzima
Maafisa kilimo na mifugo
Njoo piki piki za Samia SSH 2025
Wivu utamuuwa watu wanalamba asali kama anaumia anywe sumu afe tuu
 
Nimuhimu kwa serikali kubana matumizi,na hii ni sehemu ya kubana matumizi pia
Acha ujinga wako wewe wivu utakuuwa
Kama umeumia sana kunywa sumu ufe
Hivi unajua watu wamepewa piki piki nchi nzima
Maafisa kilimo na mifugo
Bado zile za Samia
 
Acha ujinga wako wewe wivu utakuuwa
Kama umeumia sana kunywa sumu ufe
Hivi unajua watu wamepewa piki piki nchi nzima
Maafisa kilimo na mifugo
Bado zile za Samia
Nikawaida ya mtu ambaye ni nunda kupanic pale akishindwa kuolewa,Nione wivu kishikwambi ambacho hata mwanangu anamiliki?,Jitahidi kuzuia kutukana watu pasipo sababu.Yamkini hakuna ulichoelewa abadani
 
Uwezo wako kifikira ni mdogo sana.
Huu ni wizi CCM wamefanya dhidi ya Walimu kupitia serikali.
Kumbuka ahadi ya computer mpakato kwa kila Mwl mwaka 2015.
 
Tablet nying sasa walizogawa hazisomi SIM CARD muda mwingi zinaandika NO SERVICE. Na tatizo hilo halirekebishiki
 
Back
Top Bottom