Sijui kwanini waliamua kugawa kwa walimu vishikwambi baada ya sensa wakati kuna mambo mengine mengi yanahitaji matumizi ya vishikwambi?

Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
Vilikuwa zaidi ya laki 6, walimu nchi nzima ni laki 2.5 TU!
 
Serikali haitumii vitu used. Kazi yake ilikwisha mara tu baada ya zoezi la sensa kukamilika.
Kama wangeona umuhimu wa vishkwambi kwenye hili zoezi wangenunua vingine.
Serikali inapesa nyingi. Hata hapa tunapoingia jf serikali inapata pesa kupitia bando zetu
Nimuhimu kwa serikali kubana matumizi,na hii ni sehemu ya kubana matumizi pia
 
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
Tekinolojia inabadili isee simu cha 2022 ukisema utumie 2024 unaweza kufail maana kuna app hazita kuwa supported kutoka na umri wa simu usika.

Ingawa kwa vile vishikwambi na quality ile inaonekana kabisa serikali ilipigwa vibaya mno sasa hasira zile wakaona bora wawape walimu tu wasivione huko store.
 
Nilikuwa mwalimu bahati nzuri,je kipi kilichobadirika zaidi kuingiza matokeo na kujaza ripoti kupitia mfumo kwa msaada wa kishikwambi?, unajua kwamba kila shule inapaswa kuwa na registrar kama ndio hivyo mkuu?,bado hujanishawishi nipate hoja zaidi yamkinfa

Nilikuwa mwalimu bahati nzuri,je kipi kilichobadirika zaidi kuingiza matokeo na kujaza ripoti kupitia mfumo kwa msaada wa kishikwambi?, unajua kwamba kila shule inapaswa kuwa na registrar kama ndio hivyo mkuu?,bado hujanishawishi nipate hoja zaidi yamkini
Faida zipo hasa kuandaa current notes,saizi wana andaa softcopy na wanaweka kwenye kishikwambi kisha wana updates kila wanapohitaji kufanya hivyo.tofauti na kuandika kwenye daftari.

Pia kutafuta resources mbali mbali za kufundishia,kutunza maendeleo ya watoto katika somo,kungiza matokeo na kutoa report kwa wakati.faida zipo nyingi
 
Daah kwa hiyo tujadili Laptop kweli Tanzania na watu wake ni maskini ila sio kwa level hiyo..
 
Nchi Ina Hela we wasiwasi wako WA nini? Tutanunua vingine pia kumbuka pia nchi ilipewa msaada ivyo vishikwambi na Japan
Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.

Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
 
Unaona walimu hawavihitaji ?
Hata kama walivihitaji je uhitaji wao ulikuwa ni muhimu kuliko uhitaji ktk shughuri nyinginezo?
Dah!!:AYOOO:
Tekinolojia inabadili isee simu cha 2022 ukisema utumie 2024 unaweza kufail maana kuna app hazita kuwa supported kutoka na umri wa simu usika.

Ingawa kwa vile vishikwambi na quality ile inaonekana kabisa serikali ilipigwa vibaya mno sasa hasira zile wakaona bora wawape walimu tu wasivione huko store.
Sikubahatika kuviona,lakini kwa uelewa wangu,kama ni kwa ajili ya masuala ya serikali,systems zinaundwa na wataalam wa TEHAMA wa serikali hivyo kabla ya kuunda systems ni muhimu wazingatie version ya kifaa itakayotumika mfumo huo,sijui zilikuwa ni tablets ama iPAD?
 
Faida zipo hasa kuandaa current notes,saizi wana andaa softcopy na wanaweka kwenye kishikwambi kisha wana updates kila wanapohitaji kufanya hivyo.tofauti na kuandika kwenye daftari.

Pia kutafuta resources mbali mbali za kufundishia,kutunza maendeleo ya watoto katika somo,kungiza matokeo na kutoa report kwa wakati.faida zipo nyingi
Sawa,kuna mdau katudokeza hapo juu kwamba vilikuwa laki 6 na walimu wapo laki 2.5,hivi 3.5 yamkini tuvifanye reserve kwanini visitumike ktk kazi kama hii ya uboreshwaji wa daftari?
 
Tekinolojia inabadili isee simu cha 2022 ukisema utumie 2024 unaweza kufail maana kuna app hazita kuwa supported kutoka na umri wa simu usika.

Ingawa kwa vile vishikwambi na quality ile inaonekana kabisa serikali ilipigwa vibaya mno sasa hasira zile wakaona bora wawape walimu tu wasivione huko store.
Kweli mzee ApK za nje ya playstore haziingii hata ufanyeje, pia app nyingi tu zonadunda
 
Back
Top Bottom