TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Unajua nawaza wale washauri wanakazi gani? ,ila nadhani walilenga kuwa manipulate tu maticha ili wadate,it was too unvalued politics.Takrima
Nilikuwa mwalimu bahati nzuri,je kipi kilichobadirika zaidi kuingiza matokeo na kujaza ripoti kupitia mfumo kwa msaada wa kishikwambi?, unajua kwamba kila shule inapaswa kuwa na registrar kama ndio hivyo mkuu?,bado hujanishawishi nipate hoja zaidi yamkiniTatizo haujui ugumu wa changamoto ya Kazi ya ualimu .
I agree with thisIlikuwa ni danganya toto, dhidi ya maslahi yao
Think tank ya taifa iko kaputUnajua nawaza wale washauri wanakazi gani? ,ila nadhani walilenga kuwa manipulate tu maticha ili wadate,it was too unvalued politics.
Wangetaka kutumia vishikwambi wasingeshindwa kununua vingine, acha hizo mkuuSasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.
Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali
ungekuwa ni uzembe na watu wangewajibishwa,sababu vile vishikwambi vimeunganishwa na mifumo ambayo unaweza kujua kipo wapi sasa vinapoteaje kizembe mkuu?Bora hata walivyovigawa mpaka sasa hivi vingekuwa vimeshaibwa vyote.
Nakubaliana nawe mkuuThink tank ya taifa iko kaput
Vishkwabi vyenyewe walimu wamewapa watoto wachezee subway surfers maana wanasema ni taka taka tu Bora watumie Tecno pop6 zao au hata Sharp Aquos usedYale mavishkwambi ya walimu kuwa mjadala wa taifa ni kuonyesha jinsi gani tulivyo na akili za kimaskini 🤔
Sawa tunaakili Za kimasikini sababu taifa letu ni masikini(Zingatia hili),lakini mjadala wetu ni zaidi ya vishikwambi kama umepata elewa kwa kina,hizi si zama za papers and pens kwa masuala yanayohitaji uharaka,na ulinzi wa data,Yale mavishkwambi ya walimu kuwa mjadala wa taifa ni kuonyesha jinsi gani tulivyo na akili za kimaskini 🤔
Unaona walimu hawavihitaji ?Sasa hivi Tume ya uchaguzi wanaandikisha watu kwa kutumia makaratasi katika mfumo wa kitabu wakati zoezi hili lilipaswa like kidigitali papo kwa papo,vile vishikwambi waliwahonga walimu ilipaswa viifadhiwe kwa matumizi mbalimbali kama haya,ingekuwa ni suala la kuunda mfumo nakuupakia kwenye nkishikwambi na kwenda field.
Sijajua lengo lakugawa lilikuwa nini? Wakati mahitaji ya matumizi ni mengi sana kwa serikali