Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Maisha hayahitaji stress, hawo wanaofanya challenge wanazijuwa siri za kufanikiwa maana siyo kila mtu anaweza kucheza na kuongea mbele za watu. Kwa maneno rahisi hawo wanamaarifa ambayo huna.
 
Maisha hayahitaji stress, hawo wanaofanya challenge wanazijuwa siri za kufanikiwa maana siyo kila mtu anaweza kucheza na kuongea mbele za watu. Kwa maneno rahisi hawo wanamaarifa ambayo huna.
Sio kweli huo ni upuuzi mtupu
 
Aiseee hili suala limenipa upinzani . Au nimewagusa watu kwenye mshono
Kwenye maisha fanya chochote kinachokupa furaha wewe binafsi ili mradi haumkosei Mungu wako wala kuvunja sheria za nchi. Hata kama kwa mtazamo wa wengine jambo hilo ni la kijinga sana. Kuwa mbinafsi jipende wewe kwanza kwani huna maisha mengine zaidi ya haya. Usijali wengine wanafanyaje, wewe fanya yako yanayokupendeza automatically utakuta unakosa muda wa kujali ya wengine.
 
Mwanaume wa til tok naona umefikiwa pole sana , Lakini kiukweli tik tok sio kwaajili ya wanaume wanaojielewa
 
vp ww una account tik tok ?
 
Maadili yanadhidi kudidimizwa sijui itakuwaje miaka kumi ijayo
Ovyo
Kizaz kilichopita kililaumu kizaz chetu
Ya ss yanachukuliwa kawaida
Na tunayoona siyo ya kawaida
Kwa vizaz vijavyo wataona ni normal tu
 
Eti mmoja kasema eti kuwa nayo app ya Tik Tok kwa mwanaume ni vibaya,huo ni uwongo wa Hali ya juu,Mimi Nina app ya Tik Tok nafuatilia post zinazohusu Tech na habari za kimataifa,niambieni hapo kuna ubaya gani.
 
Hamna
 
Kwako hakuna ubaya ubaya upo kwa wale wanaofanya challenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…