Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Umeandika gazeti refu nikajua unajitambua kumbe ufahamu wako upo chini sana rudi shule haujachelewa
Jibu hoja , akili huna usikatae ! Hapa hapahitaji shule yeyote ni uelewa tu wa kawaida wa kupambanua mambo Wewe ndo hujui cha kufanya au cha kuangalia huko Tiktok ndo maana unakutana na wajinga wenzio maji hufata mkondo tena unakuja huku kujiliza liza kwa wajinga wenzio JF kisa walishakupanga eti ni Great thinker kumbe nao akili hawana

Ila kuna mazuri mengi tu,
Kuna account za White House , BBC , Aljazeera , Daily Mail n.k kuna account za maana we unaenda kuangalia matako manina
 
Acha unafki dadeki, we challenge unazionea wapi kama sio hukohuko tiktok??

Ni suala la muda tu na wewe utafanya, ninyi ndio wale watu mnaojidai kuwadiss wanaopost status halafu mkitulia mnaview status zaidi ya 300.
 
Kabisa , yeye anafuatilia hayo maujinga halafu analaumu appy yote
Mpuuzi tu , tatizo sijui nani anawadanganyaga watu kuwa ukijiunga Jamii Forum unakua na akili 😂😂 Yaan mtu akisoma nyuzi mbili tatu anajikuta ana masters ya uchambuzi ,

Eti wanaiponda Facebook lile dude limesukwa sio kifani kina JF wote wako kule wajipendekeza ili wasogee sogee huko mambele ! Mtu anauita mtandao wa kijinga wakati ye ndo mjinga
 
Asante sana asante kwa kukemea uswahili wa hili punga zee.... nashukuru sana watu kama hawa hata mitaani hukutisha watu tamaa kwa kufuatilia maisha watu
Yaan aliyewadanganya watu kwamba ukijiunga JF ndo aliyeleta tabu zote hizi 😂😂 watu wanajikuta wachambuzi sana kaka !
 
Nashukuru wadau tumepiga hii mbwa inayofuatilia maisha ya watu tumepiga za kichwa tu kila ikitoa kichwa tulikuwa tunapiga hadi imeacha kupumua sasa hivi


Mbwa kabisa achana maisha ya watu
 
Hapana ni utoto kutokana na matumizi Yako WEWE. WATU WANAENDA abroad kupitia tik tok wakina pepytida wanasukuma ndinga kupitia TikTok mkuu. WATU wanasukuma biznee kupitia TikTok mkuu🙏🙏🙏🙏. Unajua Kuna RAFIKI ZANGU niliwalika jf wajiunge wakadai jf ni ya wazee, kijana hupaswi KUWA humo. Nilishangaa ila NDO mitazamo Yao.



Kwishaaaaaa
 
Kila kitu ni generation...umri ukikutupa huwezi kushindana na muda ni ukuta

Hata ww Kuna mambo ya kawaida ulikuwa unafanya, generation ya juu yako iliona kama ni mambo ya ajabu sana.
Kama mimi kuwa na mke mmoja mabraza wananishangaa.!

Wanaona nishafeli kabla ya maisha hayajanifelisha
 
Yule bonge anae fanya challenge za ccm aibu naona mimi ase 🙌🙌 mwanaume kuna challenge accepted ila sio kujitingisha makalio na khanga za ccm
Acheni ku-sexualize makalio,wakongo wakicheza muziki wao kwa kutikisa makalio mnawasifu
 
Kukosa shughulii serious za kufanya, majority ya watanzania ni jobless.
 
Back
Top Bottom