Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Mwanzo alikuwa ana fundisha madrasa na kuimba quruan bhna sijui kikampata nini akanza challenge za mondi nyimbo ya kuna nazi duh waislamu wenzie walimtukana na ana kuna vizuri mwanamke akasome
😁😁😁alianza na dini akaishia kwa kina mondi
 
Kila kitu ni generation...umri ukikutupa huwezi kushindana na muda ni ukuta

Hata ww Kuna mambo ya kawaida ulikuwa unafanya, generation ya juu yako iliona kama ni mambo ya ajabu sana.
Kwakweli kuna watu wazima wanaboa sana kule wanang'ata lips na ni wanaume hao ndo wamesababisha TikTok tuione ya watoto na wajinga
 
Sio mambo yamezidi wewe UMBEA wako umezidi sababu mtoto wa kiume unafuatilia watu wewe ...jitazama unaweza kuwa mix by yax haina password... watu washachukua salio
Hahaa ama kweli ujinga ni tatizo . Wewe una shida ya ujinga kichwani inaonekana hata elimu yako ni ya chini
 
Hahaa ama kweli ujinga ni tatizo . Wewe una shida ya ujinga kichwani inaonekana hata elimu yako ni ya chini
Sasa wewe elimu inakutuma umuangalia rafiki yako tik tok kisha uje kuandika jamiii forum ....childish behaviour .....si kamwambia mimi sipendi upost tik tok...kama hajakushona tigo hiyo
 
Inawezekana kua Mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,

Hata sijaelewa kinachojadiliwa hapa!!
 
Back
Top Bottom