Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Aibu sana kwa mtu mwanaume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
Kabisa . Kule ni utoto tumwanaume kuwa na iyo app ya tiktok tu
Tayar ni tatizo ilo
Kila kitu ni generation...umri ukikutupa huwezi kushindana na muda ni ukuta
Hata ww Kuna mambo ya kawaida ulikuwa unafanya, generation ya juu yako iliona kama ni mambo ya ajabu sana.
Watakaosema hivyo ni wale wasiojielewaWatakwambia usipangie watu namna ya kuishi😆
Mwanaume badala ya kufuatilia hela unapataje uko busy na umbea unamwangalia mwenzio tik tok akijaribu kuwa tik tok star......acha umbea na maisha ya watuAibu sana mtoto kwa mtu dume tena mwengine anaweza kuwa baba wa familia anafanya challenge za kipuuzi tik tok utadhani demu .
Hilo nalo ni nenoBado wavulana wakikua wataacha
Mwanaume aliyekamilika hapotezi muda kuchezesha vidole kwenye keyboard kumkosoa mwanaume mwenzakeMwanaume badala ya kufuatilia hela unapataje uko busy na umbea unamwangalia mwenzio tik tok akijaribu kuwa tik tok star......acha umbea na maisha ya watu
Atakuwa na wazimu huyo hayupo sawaYule bonge anae fanya challenge za ccm aibu naona mimi ase 🙌🙌 mwanaume kuna challenge accepted ila sio kujitingisha makalio na khanga za ccm
Hakuna ubaya kuwafundisha na kuwaelekeza watu . Tunasema kwa faida ya jamiiRaha yake inakunyimaje usingizi
Sasa wewe unapata wapi muda wapi wa kumuangalia mwanaume mwenzio tik tokMwanaume aliyekamilika hapotezi muda kuchezesha vidole kwenye keyboard kumkosoa mwanaume mwenzake
Mwanzo alikuwa ana fundisha madrasa na kuimba quruan bhna sijui kikampata nini akanza challenge za mondi nyimbo ya kuna nazi duh waislamu wenzie walimtukana na ana kuna vizuri mwanamke akasomeAtakuwa na wazimu huyo hayupo sawa
Utapata bwana anayetikisa makalio tik tok🤣Kila mtu afanye kitu roho inapenda