Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Sasa wewe elimu inakutuma umuangalia rafiki yako tik tok kisha uje kuandika jamiii forum ....childish behaviour .....si kamwambia mimi sipendi upost tik tok...kama hajakushona tigo hiyo
Wewe ni kopo , ndio maana hauna hoja unakimbilia matusi . Wewe ni hasara hauna faida kwenye familia yako mpaka ukoo wenu .
 
Wewe ni hasara kwa marafiki zako wana jua wewe jembe kumbe kijiko...unachora tik tok unakuja kuandika jeifu wafuate waambie mi sipend mpost tik tok uone watavyo omba salio kwenye tigo hiyo
Usikite nabishana na teja , embu kameze vidonge vya methadone, una matatizo ya afya ya akili
 
Mwanaume badala ya kufuatilia hela unapataje uko busy na umbea unamwangalia mwenzio tik tok akijaribu kuwa tik tok star......acha umbea na maisha ya watu

Hiyo tik tok kuna watu wameaanzia huko sasa hivi wanakula hela sababu ya hizo hizo challenge

Kingine ni maisha ya mtu binafsi yeye kaamua kuwa tik tok content creator

Wewe umeamua kuwa mbea wa tik tok kufuatiliwa watu
Tik tok sta??? Ina maana kuna watu ni ma-star kwenye hilo eneo!!! Ebu ngoja niwaachieni dunia yenu naona kama inaenda kunishinda.
 
Tik tok sta??? Ina maana kuna watu ni ma-star kwenye hilo eneo!!! Ebu ngoja niwaachieni dunia yenu naona kama inaenda kunishinda.
Yes mastar wengi comedy tanzania sass hivi walianzia tik tok sababu ya format ya algorithm za tik tok kwenda viral ni raisi ukiwa na video nzuri na kazi umeifanya vizur mkuu
 
Back
Top Bottom