Sijui nawaonaje wanaume wanafanya challenge tik tok ni umama

Wamatumbi wengi mnatatizo la kuwashwa washwa na mambo yasiyowahusu , hiyo challenge akifanya wewe inakupunguzia nini?
 
Kwani viongozi wa dini na watu mbali mbali wanapokemea masuala ya ushoga inawahusu nini
Kufanya challenge ina husiana vipi na huo ushoga ?

Nyie ndio mna akili za kuwaza kila jambo ni ushoga kila saa
 
Kwani viongozi wa dini na watu mbali mbali wanapokemea masuala ya ushoga inawahusu nini
Viongoz wa dini pia wanakemea sana dalili za ushoga moja ya dalili za ushoga ni kufuatilia maisha ya watu ...ni dalili ya kwanza ya ushoga kuumia na maisha ya watu
 
Shida sio wao shida ni akili zako ! Kuna mazuri mengi tu mfano Mimi page yangu ni kuhusu kilimo hasa bustani mara nyingi post zangu zimejikita huko na nimejifunza mengi kwenye kilimo kupita Tiktok mfano teknolojia za umwagiliziaji na utunzaji wa mimea mambo ambayo sikuwahi hata kufundishwa darasani,

Nimekutana na marafiki pia wakiniuliza nnavyoendesha bustani kwa ajili ya biashara. Lakini mbali na hapo kuna watu wenye vipaji mbalimbali Dancers , waimbaji , wachoraji , waandishi ni platform nzuri ya kukutanisha watu pamoja na kuonesha vipaji na mifumo mbalimbali ya maisha,

Sasa wewe kama kati ya users 1.94 Billion wa Tiktok wewe umeamua kuwaangalia kina mwijaku na wanaofanya challenge za Amanda ni wewe akili huna usilaumu App 😂😂
Kama ilivyo jamii forum tu kuna mada zikiletwa hapa utatamani hata kukutana wahusika uwanunulie Bia mtu tu anaamua aulizwe chochote kuhusu Ndege dadeki anaielezea kama unavyokunywa maji lakini zipo mada zetu kula kimasihara , mara huyu ananyimwa chakula na mkewe hashibi , huyu anaponda wanawake wembamba , mwingine anauliza kukojoa muda mrefu afanyeje.

Maana hapa mtajiongelesha kumbe akili ni zako mmejazana kuangalia post za kina Lulu white na Uncle T mkija mnakomaa Tiktok ya kijinga.
Yaan watu wanakesha maabara na Computer hadi wanavaa miwani macho , wanagonga code hadi Mungu hapendi ! Wanakuletea Dude limetulia hapo

Wewe useme ni app ya kijinga, we ndo fala 😂😂
 
Namashaka na elimu yako
Anaepaswa awe na mashaka ni mke wangu mtarajiwa bwashee , tiktok ni mtandao wa kidunia kila mtu anafanya jambo lake kwa nafasi yake na anawafuasi wake ,halikupendezi jambo tia block utafute yanayokupendeza.
 
Shida sio wao shida ni akili zako ! Kuna mazuri mengi tu mfano Mimi page yangu ni kuhusu kilimo hasa bustani mara nyingi post zangu zimejikita huko na nimejifunza mengi kwenye kilimo kupita Tiktok mfano teknolojia za umwagiliziaji na utunzaji wa mimea mambo ambayo sikuwahi hata kufundishwa darasani,

Nimekutana na marafiki pia wakiniuliza nnavyoendesha bustani kwa ajili ya biashara. Lakini mbali na hapo kuna watu wenye vipaji mbalimbali Dancers , waimbaji , wachoraji , waandishi ni platform nzuri ya kukutanisha watu pamoja na kuonesha vipaji na mifumo mbalimbali ya maisha,

Sasa wewe kama kati ya users 1.94 Billion wa Tiktok wewe umeamua kuwaangalia kina mwijaku na wanaofanya challenge za Amanda ni wewe akili huna usilaumu App 😂😂
Kama ilivyo jamii forum tu kuna mada zikiletwa hapa utatamani hata kukutana wahusika uwanunulie Bia mtu tu anaamua aulizwe chochote kuhusu Ndege dadeki anaielezea kama unavyokunywa maji lakini zipo mada zetu kula kimasihara , mara huyu ananyimwa chakula na mkewe hashibi , huyu anaponda wanawake wembamba , mwingine anauliza kukojoa muda mrefu afanyeje.

Maana hapa mtajiongelesha kumbe akili ni zako mmejazana kuangalia post za kina Lulu white na Uncle T mkija mnakomaa Tiktok ya kijinga.
Yaan watu wanakesha maabara na Computer hadi wanavaa miwani macho , wanagonga code hadi Mungu hapendi ! Wanakuletea Dude limetulia hapo

Wewe useme ni app ya kijinga, we ndo fala 😂😂
Asante sana asante kwa kukemea uswahili wa hili punga zee.... nashukuru sana watu kama hawa hata mitaani hukutisha watu tamaa kwa kufuatilia maisha watu
 
Umeandika gazeti refu nikajua unajitambua kumbe ufahamu wako upo chini sana rudi shule haujachelewa
 
Asante sana asante kwa kukemea uswahili wa hili punga zee.... nashukuru sana watu kama hawa hata mitaani hukutisha watu tamaa kwa kufuatilia maisha watu
Naona mwenye uzi kala kona nahisi bado anapumua akija naendelea kupiga za kichwa tu ....

Hadi aache tabia ya umbea na maisha ya watu
 
Shida sio wao shida ni akili zako ! Kuna mazuri mengi tu mfano Mimi page yangu ni kuhusu kilimo hasa bustani mara nyingi post zangu zimejikita huko na nimejifunza mengi kwenye kilimo kupita Tiktok mfano teknolojia za umwagiliziaji na utunzaji wa mimea mambo ambayo sikuwahi hata kufundishwa darasani,

Nimekutana na marafiki pia wakiniuliza nnavyoendesha bustani kwa ajili ya biashara. Lakini mbali na hapo kuna watu wenye vipaji mbalimbali Dancers , waimbaji , wachoraji , waandishi ni platform nzuri ya kukutanisha watu pamoja na kuonesha vipaji na mifumo mbalimbali ya maisha,

Sasa wewe kama kati ya users 1.94 Billion wa Tiktok wewe umeamua kuwaangalia kina mwijaku na wanaofanya challenge za Amanda ni wewe akili huna usilaumu App 😂😂
Kama ilivyo jamii forum tu kuna mada zikiletwa hapa utatamani hata kukutana wahusika uwanunulie Bia mtu tu anaamua aulizwe chochote kuhusu Ndege dadeki anaielezea kama unavyokunywa maji lakini zipo mada zetu kula kimasihara , mara huyu ananyimwa chakula na mkewe hashibi , huyu anaponda wanawake wembamba , mwingine anauliza kukojoa muda mrefu afanyeje.

Maana hapa mtajiongelesha kumbe akili ni zako mmejazana kuangalia post za kina Lulu white na Uncle T mkija mnakomaa Tiktok ya kijinga.
Yaan watu wanakesha maabara na Computer hadi wanavaa miwani macho , wanagonga code hadi Mungu hapendi ! Wanakuletea Dude limetulia hapo

Wewe useme ni app ya kijinga, we ndo fala 😂😂
Kabisa , yeye anafuatilia hayo maujinga halafu analaumu appy yote
 
Back
Top Bottom