Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #101
Inasikitisha ,Challenge ya kutikisa misambwanda au? Aslimia 80 vijana wa Dar wanapuliziwa kisogoni
Inasikitisha ,Challenge ya kutikisa misambwanda au? Aslimia 80 vijana wa Dar wanapuliziwa kisogoni
Kume bado unapumua asee kweli nimeamini msiba wa shoga hakuna anae hudhuria yaani kukukanya kote uache umbea bado unarudi ..tuendeleeHhhhh umepata mtu mnayefanana akili .
Hata mkija 100 watu wa aina yako nitajua nabishana na machizi yaliyotoroka milembeNaona mwenye uzi kala kona nahisi bado anapumua akija naendelea kupiga za kichwa tu ....
Hadi aache tabia ya umbea na maisha ya watu
Kubishana na chizi ni sawa na kusubili embe chini ya mnaziAnaepaswa awe na mashaka ni mke wangu mtarajiwa bwashee , tiktok ni mtandao wa kidunia kila mtu anafanya jambo lake kwa nafasi yake na anawafuasi wake ,halikupendezi jambo tia block utafute yanayokupendeza.
Wewe una matatizo ya afya ya akili . Nakuonea huruma kwakuwa haujui ulitendalo unahitaji msaadaKume bado unapumua asee kweli nimeamini msiba wa shoga hakuna anae hudhuria yaani kukukanya kote uache umbea bado unarudi ..tuendelee
Unafuatilia mambo ya kipuuzi ndio maana unakutana na hao watu , Tiktok ni mtandao wa kidunia ,kuna kila aina ya mambo ,hauwezi mpangia mtu cha kupost , ungekua na akili timamu ungetafuta yanayokupendeza .Kubishana na chizi ni sawa na kusubili embe chini ya mnazi
Nimesema wewe hauna akili kwasababu unasindwa kuelewa mada .Unafuatilia mambo ya kipuuzi ndio maana unakutana na hao watu , Tiktok ni mtandao wa kidunia ,kuna kila aina ya mambo ,hauwezi mpangia mtu cha kupost , ungekua na akili timamu ungetafuta yanayokupendeza .
App ni ya kipuuzi au wewe ndio unafuatilia upuuzi?Hio ni app ya kipuuzi .
App ya kipuuzi kwa sababu asilimia 90 imetawaliwa na mambo ya kijingaApp ni ya kipuuzi au wewe ndio unafuatilia upuuzi?
Hao wanaume wanafanya challenge za kukatika makalio mbona kwenye app yangu ya tiktok hawapo? Badilika uache kufuatilia upuuzi kama hautaki kijanaNimesema wewe hauna akili kwasababu unasindwa kuelewa mada .
Hoja ya msingi ni wanaume wanaofanya challenge za kipuuzi
Ahadi yangu ni ile ile nikukuta mtaani nakufunga minyororo nakuwaisha kituo cha mateja ukapate msaada wa afya akili yakoKume bado unapumua asee kweli nimeamini msiba wa shoga hakuna anae hudhuria yaani kukukanya kote uache umbea bado unarudi ..tuendelee
Kila appy kwanzia x instagram na hata Google ukifuatia upuuzi itakupatia upuuzi , mimi naona tatizo lipo kwako kufuatilia upuuzi🤔App ya kipuuzi kwa sababu asilimia 90 imetawaliwa na mambo ya kijinga
Wanasema mind your businessWatakwambia usipangie watu namna ya kuishi😆
Sk hiz vichaa wengi wanaanzia humoKabisa . Kule ni utoto tu
HaujakoseaSk hiz vichaa wengi wanaanzia humo
Hatari hiyoKibaya ni yule anapost sura yake
Akijirecord huku Akiimba nyimbo za ZUCHU
Kibaya anaiga style za wanawake