Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Basi jitahidi usome tu katiba ya nchi walau, sio unakuja na story paspo kuitaja katiba wakati mada zungumzwa inahusu katiba na mambo mhimu kwa maendeleo ya taifa.Sasa sisi hatuchanganyi hizo elimu kama nyie washamba ,eti mtu anajulikana Phd kwa kusoma theology 😅😅kisa kasoma kingereza basi anaonekana msomi mkubwa Tanzania.
Wewe mshamba kaa pembeni uwezo mdogo hao unaowategemea wameandika chapisho kwa kuungana ila bado wameandika utumbo kama watoto wa shule ya msingi sembuse wewe zero kabisa😅.
Kitendo cha mambo kuendeshwa kwa lugha za kitumwa ni kukubali utumwa moja kwa moja