Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
Basi jitahidi usome tu katiba ya nchi walau, sio unakuja na story paspo kuitaja katiba wakati mada zungumzwa inahusu katiba na mambo mhimu kwa maendeleo ya taifa.Sasa sisi hatuchanganyi hizo elimu kama nyie washamba ,eti mtu anajulikana Phd kwa kusoma theology 😅😅kisa kasoma kingereza basi anaonekana msomi mkubwa Tanzania.
Wewe mshamba kaa pembeni uwezo mdogo hao unaowategemea wameandika chapisho kwa kuungana ila bado wameandika utumbo kama watoto wa shule ya msingi sembuse wewe zero kabisa😅.
Ndio , Jesuits ni freemasons and illuminati members ,Kuna uhusiano wowote na secret society?
TEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Kazi ya kitengo cha kijasusi na kazi chafu ndani ya kanisa Catholic hiyoToka hili suala la bandari limeanza, nimeidharau sana Idara ya Uenezi wa CCM.
Mchezo wa kutumia propaganda ya Dini na Uhaini hautowasaidia.
Kwa sasa Rais atoke hadharani atoe dira yenye ufumbuzi chanya wa suala hili. RC ni taasisi yenye nguvu kubwa za ushawishi popote pale duniani. Serikali yoyote makini, haiwapuuzi.
Asiyemuelewa mtoa mada kuhusu VATICAN + MAFIA, Akamsome David Yalop kwenye In God's Name namna gani walivyo kiasi cha kumpoteza Pope John I.
Kitabu gani mkuuKanisa Catholic ni cabal ya crime , kila kazi chafu unayoijua , hawa wahuni (priests) wamefanya na wanaendelea kufanya , someni hiki kitabu
Hata holocaust dhidi ya wayahudi kule ulaya kulikuwa kuna mkono wa Roman Catholic and papacy
Tafuta kitabu....Banco Ambrosiano
Vatican wamefanya deals mpaka na mafia na ninaamini bado wanaendelea mpaka sasa , criminals in cohort with the church of Rome ni pieTafuta kitabu....Banco Ambrosiano
Imagine kama mwalim ndo alitoa hoja hiyo ,vp kuhusu mwanafunzi ambae ni zao la huyo mwalim.Miongoni mwa vitu ambavyo nimekuwa nikilishwa sumu, kuanzia nyumbani, shuleni na kwenye sanaa (movies) kadhalika kwenye mamedia ni kuwa marekani ndio baba Wa dunia na anaweza Fanya lolote atakalo
Kuna mwalimu mmoja akadiliki hadi kusema marekani anastahili maana ndio taifa pekee linakupiga huku linakulisha....ujinga mkubwa
Nimekuwa nikidanganywa sana
" the lie they agreed to tell each other over and over again until they forget it's a lie"
Mapropagandist wakubwa, wanafiq na madhwalim tu! at least mchungaji munishi Wa Kenya anayo akili maana ndio huwa anajaribu kuwatahadharisha ndugu zake na ulaghai wa hawa mabwana
Hatupendi machafuko ila hii ya Ukraine at least ina reveal ukweli kuwa ni uongo kuwa hao NATO na huyo mpuuzi mwenzao wakitaka kufanya chochote muda wowote wanakiwasha!
Bila wale jamaa dunia ingekuwa tulivu sana, wale jamaa na zaidi ya firauni
The order of Opus DeusTEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Knights Temple sio hadithi na Masonic lodges sio hadithi usithubu kuwafanyia uhanithi watakufundisha adabu mpaka ujue hujui na ukigundua ni pale wanakunyanazisha ili usije kutoa tahadhari kwa mafala wenzako ishi kwa misingi ya haki and follow the Masonic laws hakuna mtu atakusumbuaAbsolutely Nonsense.
Hana akili. Yani anaona sifa kulinganisha kanisa na mafia ,dola ya Rumi? Vitu ambavyo si kweli, na hakuna rais anaenda kuhusu rosary pale. Hajui ata kinachoendelea ni likitu lijinga sana. Na kama ni mkatoliki ni mpumbavu.Elezea basi kidogo na wengine waujue upumbavu wake
Conspiracy theories tumezizoea.Hiki hapa
Someni humo ,mtabaki vinywa wazi
Hivi nani kawadanganyeni tunawaogopa? Mtajua hamjui. Yani crusade itakuwa chamtoto.Yaani bado unaamini mambo ya
freemason na mda huo unaabudu hilo kanisa. Una akili kweli?
Watu wanalipinga wazi kwa kusema 90% viongozi wa hapo ni mashoga na hakuna kitu wanafanya.
Kama unabisha tangazeni vita hadharani ndo mtajua nan ana amani ya kweli.!!
Bado unaamini katika ujima,huko duniani mambo ya rc sijui luthel walishaachana nayo,hasa kwa hao israel ndio awaamini kwenye dini yoyote zaidi ya jewish,ila wapange tu kwa story zako za kwenye vijiwe vya kahawaTEC + VATICAN + POPE = MAFIA, INTELLIGENT AND RICH PEOPLE (Precious Blood Brothers)
Halafu Rais yoyote wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Kisiri wakimaliza Kuapishwa tu lazima waende Vatican City kwa Pope ( Papa ) wakabusu Rozari na Msalaba wake.
Na taarifa ikufikie popote pale kuwa Vatican ni Taifa Kubwa Tishio lisiloonekana (Invisible) lenye Nguvu ya Ajabu ambayo hata Marekani na Israel hawana na ndiyo maana Wanaiogopa na Kuiheshimu.
Nawapongeza kwa Kushtuka mapema kabla ya Hatari yao kwa Mrembuaji Macho Kungu Mmoja na Kusalimu Amri kwa Zao lao Kuu Afrika Mashariki na Kuufyata Kwake.
Chezeni na Wote ila siyo hawa RCs!!!
Watanzania wengi wanacho elewa ni kula kimasihara na kubishana Simba na Yanga.Hii mada ipo levo za juu mno. Kwa upeo mdogo wa wtz walio wengi ninaowafahamu wataishia kukutukana tu
Aisee, basi kupitia maelezo yako naweza sema usiwe mwepesi kufanya hitimisho kabla ya utafiti,Hana akili. Yani anaona sifa kulinganisha kanisa na mafia ,dola ya Rumi? Vitu ambavyo si kweli, na hakuna rais anaenda kuhusu rosary pale. Hajui ata kinachoendelea ni likitu lijinga sana. Na kama ni mkatoliki ni mpumbavu.